Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

Ni kutu rahisi sana,tulimchagua yeye atuongoze badala yake yeye akaamua tuongozwe ma vyombo. Na yeye kama hao wengine uliowataja alikuwa makini katika kuwapanga watu wa kumtii ktk vyombo hivyo hasa wenye roho mbaya kama yeye.

As the old rule goes:"Strong men brook no rivals and they are served by faceless men." Ashukuliwe Mungu wa Isaka na Yakobo vyombo hao wote pamoja na yeye havijawasaidia kuwaokoa ns kifo.
 
Pia mjomba Magu alipanga malengo makubwa wakati pato la nchi likiwa dogo mno.
Kwa mfano kodi iliangiza kiasi cha Trillion 13 kwa mwaka lakini bajeti ni Trillion 30.
Akaishia kupeleka pesa ndogo sana baadhi wizara .
Hata pale alipodai watalii watakuja Bongo wakati wa Corona ilipokuwa imepamba moto nchi za magharibi,huku akijua kuwa Tanzania was on black list ya nchi nyingi watokapo watalii.Isitoshe kulikuwa na lockdown kwenye nchi zao.
Wakati nchi kama South Africa na Kenya zikipewa msaada wa kiuchumi sababu uchumi wa nchi hizo vinara wa uchumi Afrika, kuadhirika na janga Corona ulimwenguni,mjomba Magu akapuyanga kivyake bila muelekeo.
 
Anashika kila kitu mwishowe hakuna alichokamikisha 😁😁.

Matokeo yake Samia anajichukulia ujiko tuu saizi .
 
Alikunyamazisha wewe
 
Uchapa kazi wake wa kizalendo ndiyo sababu
 
Walao umekuja na justification nzr, ndo maana ya administration, kila mfumo wa uongozi unahasara zake na faida zake Ila kwa ujuma jpm alifanya 90% best na 10 kwa makosa au udhaifu wa kibindam, na kwa Sasa tumerudi kwa kasi hatujamaliza hata mwaka nw kila kitu kimerudi, watu wanaiba bila woga, huku wanyonge ndo wanaishi Kama digidigi, bidhaa zimepanda ukigeuka huku umeme mgao, hujakaa sawa sijui wakulima na wafugaji wanuana yaan tulishasahau, Jambo ambalo naona wameshindwa kulimudu Ni la chanjo asee hyo semina aliyo toa JPM haijaondoka kabisa na for the real hapo jpm ndo alithibitisha he was PRESIDENT kabisa, yaan kiukwel huwa nikitafakal swala la Corona na namna ambavyo wengine walishughulikia asee acha Mungu aitwe MUNGU kumtumia JPM
 
Hujaelewa vzr hzo pesa hazikuliwa b4 magu zikikuwa Kama pending hv na baada ya kuona JPM hayupo ndo wakazikula, fuatilia maelezo vzr, wameshajua sickness ya mama kwamba wakiharib hapa wanapelekwa kule, assume, mzee angekuwepo halafu Leo ndo iko hvyo Kwanza angefukuza woteeee na ndani palikuwa panawahusu, acahana na jpm yule Ni jiwe kwel kwel
 
Hebu tupe timeline pesa zilitoka lini, na kwanini awamu ya tano waziache tu ziwe pending hazifanyi kazi?
 
Akiongoza ulikuwa hujazaliwa??
Basi muulize Lissu au dewji au Roma au mtafute gwanda au saanane au nape etc
 
Umeandika upuuzi huu huku ukiwa kwenye giza totoro ukisubili kurudishiwa umeme wa mgao kipindi cha mvua nyingi.
 
Umeandika upuuzi huu huku ukiwa kwenye giza totoro ukisubili kurudishiwa umeme wa mgao kipindi cha mvua nyingi.
Unaasume kila mmoja ana shida Kama ulizokulia wewe na babu zako you are such a fool.

Endelea kuteseka mbwa wewe mlizoea vya kunyonga. Yani umri huu afrika unalalamika umeme? Nunua Solar as backup system acha ufala .

Kwani kwa babako so mnawasha koroboi inawatosha kumulika kuleni ugali wa Dona mkalale chumba kimoja watoto Saba .

Acha kuishi kwa mazoea Magufuli ameshakufa amka mzee hakuna wa kumlilia Mungu wenu kafa.

You are on your own, wenzio tukiona hakuna lami tunanunua landcruiser, ukiona hakuna dawa unaagiza online, ukiona hakuna umeme just buy a backup system, acha kulialia mnyonge. Wakati huu wanyonge zamu yenu kuishi Kama mashetani mbwa nyie
 
[emoji134][emoji134]
 


Hili ni swali binafsi zaidi. Jiulize mwenyewe kwanza. Wewe ulifanya nini. Isije ikawa kila mtu anasubiri wengine 😂
 
Chuki na marehemu hazitokusaidia....rudi shule memkwa upate cheti halali maisha ya kubumba bumba mzee Magu alishayazika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…