Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

Ilimsaidia Sana kutoka kuwa na utaifa wa Nyerere,akaja Mwinyi na MKapa kutufundisha ubepari na kujitafutia vyetu,akaja JK ajatufundisha demokrasia,kuvumiliana na kujiajiri then akaja mwehu kavuruga kila kitu cha awali ,sasa tumeanza upya na Samia 😁😁

Pole JPM alikufanya nini
 
Mzee baba aliamua kusimama na wengi, wanyonge, wajinga,maskini.

Aliamua kujenga miundombinu kwa ajiri ya wanyonge. Nenda tandale uone barabara za mitaa, zote zege.

Matokeo yake matajiri Wana kuja kununua majumba mabovu ya wanyonge na maskini Hawa wanapata riziki.
Huo ni mfano mmoja.

Nchi za kibepari wanao sikilizwa ni mabepari, miundombinu hujengwa kwa kuangalia mabepari watawezaje lipa Kodi kufidia ghara iliotumika. Hawa mabepari ndo wapiga propaganda, wezi wa Mali za Uma. Nahili kundi kwa Tanzania lipo chini ya asilimia tano ya milioni 60.

Hivo basi, Chuma aliweza kulikanyaga hili kundi, kwa kukomesha wizi, kukaba mirija ya utapeli na walioleta fyoko fyoko Kama yule alietaka kujimilikisha Coco Beach wakakiona Cha Moto.

Na kwakua kundi zaidi ya asilimia 95 liliona linetambuliwa na kuheshimishwa, Basi nchi ikatulia na Mambo yakawa yanaonekana yakitendeka.

Kundi la mabeberu likakosa pakusemea na Cha kusema. Wapiga madili wakashikwa na msongo wa mawazo. Majambazi yakaanza kumsujudu. Matapeli wa chama tawala wakajaa hofu.

Wahuni wakamvizia alipojisahau wakafanya yao na Sasa wanyonge wamerudia Hali yao na wahuni wameneemeka.

Dominica njema.
 
Nape alitembea kwa magoti kuanzia geti la Ikulu mpaka ofisini kwa magu
Kweli alitunyamazisha. Lakini nasi baada ya kuona hivyo tukasali sana ili anyamazishwe na ikawa hivyo. Sasa amenyamazishwa milele.
 
Mzee baba aliamua kusimama na wengi, wanyonge, wajinga,maskini.

Aliamua kujenga miundombinu kwa ajiri ya wanyonge. Nenda tandale uone barabara za mitaa, zote zege.

Matokeo yake matajiri Wana kuja kununua majumba mabovu ya wanyonge na maskini Hawa wanapata riziki.
Huo ni mfano mmoja.

Nchi za kibepari wanao sikilizwa ni mabepari, miundombinu hujengwa kwa kuangalia mabepari watawezaje lipa Kodi kufidia ghara iliotumika. Hawa mabepari ndo wapiga propaganda, wezi wa Mali za Uma. Nahili kundi kwa Tanzania lipo chini ya asilimia tano ya milioni 60.

Hivo basi, Chuma aliweza kulikanyaga hili kundi, kwa kukomesha wizi, kukaba mirija ya utapeli na walioleta fyoko fyoko Kama yule alietaka kujimilikisha Coco Beach wakakiona Cha Moto.

Na kwakua kundi zaidi ya asilimia 95 liliona linetambuliwa na kuheshimishwa, Basi nchi ikatulia na Mambo yakawa yanaonekana yakitendeka.

Kundi la mabeberu likakosa pakusemea na Cha kusema. Wapiga madili wakashikwa na msongo wa mawazo. Majambazi yakaanza kumsujudu. Matapeli wa chama tawala wakajaa hofu.

Wahuni wakamvizia alipojisahau wakafanya yao na Sasa wanyonge wamerudia Hali yao na wahuni wameneemeka.

Dominica njema.
Aisee umenena Vyema wasilolijua wengi ni Kuwa Aliyepo Sasa anapendwa na wenye nacho kwasababu kwao ni Neema ILA aliyekuwepo alipendwa na wengi wasionacho hivyo kwa sasa Wasionacho wanakiona cha mtema Kuni huku walionacho wanazidi kufaidi keki ya TAIFA...
 
Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto, Iddi Amin, Mobutu, Kagame, Bokassa na wengineo.

Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?

Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.

Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo, nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.

Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe.
Lakini maendeleo yalikua kwa Kasi na wapiga madili walipungua, yamkini midomo Yetu ndio inayoturudisha nyuma
 
Maendeleo yanayopatikana kwa kupiga watu risasi,kuteka,kutisha,bora kubaki na umasikini
 
Sema Tu Waliopo hatuwataki wanaotaka tuwape hatuwaamini Shinda ndo Hiyo hatuwezi kuendelea kwa hiyo notion never
 
Aisee umenena Vyema wasilolijua wengi ni Kuwa Aliyepo Sasa anapendwa na wenye nacho kwasababu kwao ni Neema ILA aliyekuwepo alipendwa na wengi wasionacho hivyo kwa sasa Wasionacho wanakiona cha mtema Kuni huku walionacho wanazidi kufaidi keki ya TAIFA...
Wao wasoonacho wapambane wawe nacho
 
Maendeleo yanayopatikana kwa kupiga watu risasi,kuteka,kutisha,bora kubaki na umasikini
Hizi ndio akili za kimasikini.
Hakuna mtu mkamilifu, mazuri yalikua mengi kuliko mabaya, kuanzia kipindi cha Nyerere Hadi Leo watu wanaendelea kufa, kuuwawa, na kupotea. Hakuna jipya hapo.
 
Kwani Kuna Ubaya ukimpoteza Mmoja ili wengi waishi vyema
 
Watu hawataki hata mmoja afe, wanaona Bora tuwe masikini.
Watu wa Aina hii Kama zingekua Zama za yona wangemkumbatia Yona na kuzamisha chombo baharini.
 
Hizi ndio akili za kimasikini.
Hakuna mtu mkamilifu, mazuri yalikua mengi kuliko mabaya, kuanzia kipindi cha Nyerere Hadi Leo watu wanaendelea kufa, kuuwawa, na kupotea. Hakuna jipya hapo.
Uhai wa raia ndio muhimu kuliko vyote kemea roho za kishetani za kuuana kisa madaraka,ni zaidi ya unyama,unaowaua wana ndugu ujue wanawategemea
 
Watu hawataki hata mmoja afe, wanaona Bora tuwe masikini.
Watu wa Aina hii Kama zingekua Zama za yona wangemkumbatia Yona na kuzamisha chombo baharini.
Dah una roho ya kuua wewe si bure
 
Uhai wa raia ndio muhimu kuliko vyote kemea roho za kishetani za kuuana kisa madaraka,ni zaidi ya unyama,unaowaua wana ndugu ujue wanawategemea
Ni uongozi gani ambao haukuuwa? Hata Vatican, na nchi za kiislamu watu wanauwawa kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Familia ya Kim inawezaje kunyamazisha Korea yote?

Unadhani mababu walikuwa hawana akili hadi kuwabeba Waarabu kwenye mabega yao?

In fact ni rahisi Sana,kila sekta hasa vyombo vya Dola unaweka watu royal kwako na wawe wakatili, lazima watu waufyate..

Ila unaowaweka lazima uwalipe vizuri na baadhi ya dili haramu na upigaji unapotezea.

Pia unakuwa na vitengo vya propaganda kila sehemu ni nyimbo zako tuu,hata Nyerere ndivyo alikuwa.

Hapo lazima wote iwe hivi 👇

View attachment 2109240
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom