Hakuna aliyekuwa anaishi maisha halali kipindi cha Magufuri akamchikia Magufuri,Magu alikuta wizi umekidhili,mpaka majizi walikuwa wanafuata watu kwenye daladala wanawanyanganya pesa zao kwa jeuli,Selikalini ndio usiseme,mpaka nchi jirani zilikuwa zimeisha acha kupitisha mizigo, sababu wizi wa watanzania,makontena yanapotelea njiani, petroleum wanachanganya na mafuta ya taa, mpaka Kikwete aliamua kupandisha mafuta ya taa ili kukomesha uchakachuaji.magufuli kwa kipindi chake vyote vilikoma,wote waliokuwa wakiishi kwa njia hizo wakainua chuki kwa Magufuri, kuwa ni mtawala mbaya, kumbe kaziba mianya ya wizi