Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

Kiangazi hamuioni? Au mmeamua kumtukuza tu Mwenda zake. Nenda kaone Mto Ruaha kama una maji. Hata pangani maji mtoni yamebaki kidogo sana. Kihansi ndo usiseme. Kwa kawaida kipindi Nyanda za juu kusini mvua zinanyesha. But awamu hii bila bila. Hivyo maji kupungua hakikwepeki.
Mto ruaha hapa kilombero maji mengi tu, mpaka yanakwamisha kujenga daraja la kuelekea Ifakara.
 
Alipokuwa akisema wanaomchukia ni wapiga deals ilionekana kama anajisifia uongo vile. Hana hata mwaka ardhini ila mtashuhudia wenyewe na mtamkumbuka!

Awamu ya nne ilizalisha mafisadi na kuwalea kana kwamba walichokuwa wakikifanya kilikuwa ni sahihi! Ilipotokea jamaa akawa hawapi nafasi ya kuinyonya serikali ndio chuki na matusi na kejeli zilianza kila kona, oh tumepata raisi mshamba haijawahi kutokea 😅 kumbe raisi mshamba ni yule ambaye hashirikiani na wanasiasa kuibia nchi kupitia mikataba ya kinyonyaji😅 RIP Magufuli.

Utagundua chuki kubwa ilikuwa kuzimwa kwa ndoto za mafisadi na wala rushwa kukwamishwa katika michakato yao.
Daah,yaaani Magufuli kaondoka tu matatizo ya umeme yameanza tena,hawa akina makamba sio wa kuwategemea kwenye haya mambo
 
Haya ndio makosa ambayo yanatutenga na mungu kujipatia mtukufu miongoni mwetu wanadamu.....hata kama angekuwepo huyo mfu leo asingeweza ondoa kiangazi...
Nani kampa utukufu!
 
Alipokuwa akisema wanaomchukia ni wapiga deals ilionekana kama anajisifia uongo vile. Hana hata mwaka ardhini ila mtashuhudia wenyewe na mtamkumbuka!

Awamu ya nne ilizalisha mafisadi na kuwalea kana kwamba walichokuwa wakikifanya kilikuwa ni sahihi! Ilipotokea jamaa akawa hawapi nafasi ya kuinyonya serikali ndio chuki na matusi na kejeli zilianza kila kona, oh tumepata raisi mshamba haijawahi kutokea [emoji28] kumbe raisi mshamba ni yule ambaye hashirikiani na wanasiasa kuibia nchi kupitia mikataba ya kinyonyaji[emoji28] RIP Magufuli.

Utagundua chuki kubwa ilikuwa kuzimwa kwa ndoto za mafisadi na wala rushwa kukwamishwa katika michakato yao.
Chama kimerudi kwa wenyewe
 
Nilidhani ungesema awamu ile kwanini nguvu nyingi ilitumika kubana uhuru wa watu kutoa maoni na kuondolewa hata haki ya kuishi wengine walifungiwa kutembelea hadi nchi za watu! Shame on you
 
Nilidhani ungesema awamu ile kwanini nguvu nyingi ilitumika kubana uhuru wa watu kutoa maoni na kuondolewa hata haki ya kuishi wengine walifungiwa kutembelea hadi nchi za watu! Shame on you
Wacha kukariri maneno!
 
Huo siyo mto Ruaha. Huo ni Mto Kilombero ambao hauna kinu cha kuzalisha umeme. Labda Sliglaz ikikamilika.
Na bwawa la kidatu je?

Mto kilombero upo ifakara, mto ruaha upo hapa kilombero , ndio ule uliopita ruaha mbuyuni kuja iyovi kisha unajaza maji bwawa la kidatu.
 
Pamoja na mapungufu ya JPM ila nchi hii ili iende inahitaji mtu katili kiasi asiye chekacheka na watumishi, maana kuna ujinga mwingi sana kwenye ofisi za umma
 
Toka 2015-2020, ni mwaka upi kulikuwa na ukame mkubwa?kama huu uliopo sasa?tuanzie hapo kwanza, kwani karibia miaka 4 mfululizo Tz, ilipata mvua nyingi sana.
2017 haukuwepo tanzania? ukame wa mwaka huu haujafika hata 1/4 ya mwaka 2017 alafu maigizo yashaanza, alafu wachache wenye maslahi/wasojitambua wanatetea ushenzi wa namna hii.
 
Sasa hiyo mtera inayochangia megawati 80 hata kama bado maji yapo ndio itasaidia nini kwenye mahitaji ya megawati 1600?!!vitu vingine muwe mnatumia akili tu.tatizo hapa ni serikali za awamu zote ndio zimetufikisha hapa c ajabu hata hilo bwawa la mwl.Nyerere likatumika ndani ya miaka michache tu, tukaja kuambiwa tatizo ni maji, hivyo tuhamie kwenye makaa ya mawe!!kwenye gesi walituambia nini?
china inaongoza duniani kwa uzalishaji wa umeme wa maji, ikifuatiwa na canada, brazil na marekani bt huwezi kukuta hizi blah blah za maji kupungua.
 
2017 haukuwepo tanzania? ukame wa mwaka huu haujafika hata 1/4 ya mwaka 2017 alafu maigizo yashaanza, alafu wachache wenye maslahi/wasojitambua wanatetea ushenzi wa namna hii.
Sio kweli mwaka 2017, kulikuwa na ukame mkubwa sana!!tena ilikuwa ni kwa baadhi ya mikoa tu, hasa, mwanza, shinyanga, tabora, lakini mikoa mingi ilikuwa n mvua,mimi nilikuwa katavi mvua zilikuwa nyingi tu.lakini kwa mwaka huu karibia mikoa yote hadi sasa mvua bado .
 
Makamba amejaaliwa kipaji cha kutiririsha maneno na kuyapamba kimashairi, lakini ukifuatilia utakuta hakuna vitendo! Anaongea na ana kuacha pale ulipokuwa unamsikiliza, hupati faida yoyote.

Nafikiri alipotumbuliwa na JPM, kisa cha kutumbuliwa kilikuwa ni hicho. Maneno mengi vitendo sufuri!

Makamba kama ange anza kutenda na matokeo yakaonekana, mbona hata uraisi ungemfaa? Lakini - talk talk no tangible results.
Huyo jamaa ni bure kabisa,nimempuuza.
 
Back
Top Bottom