white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Toka 2015-2020, ni mwaka upi kulikuwa na ukame mkubwa?kama huu uliopo sasa?tuanzie hapo kwanza, kwani karibia miaka 4 mfululizo Tz, ilipata mvua nyingi sana.Umeandika matope, naamini ukisoma tena huu ukojo wako utajigundua kuwa wewe ni Kihandeli chenye mkia kabisa!