Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

Umeandika matope, naamini ukisoma tena huu ukojo wako utajigundua kuwa wewe ni Kihandeli chenye mkia kabisa!
Toka 2015-2020, ni mwaka upi kulikuwa na ukame mkubwa?kama huu uliopo sasa?tuanzie hapo kwanza, kwani karibia miaka 4 mfululizo Tz, ilipata mvua nyingi sana.
 
Kwa hiyo wewe unabishana
Kwa hiyo wewe unabishana na meneja wa bwawa la Mtera.
Sasa hiyo mtera inayochangia megawati 80 hata kama bado maji yapo ndio itasaidia nini kwenye mahitaji ya megawati 1600?!!vitu vingine muwe mnatumia akili tu.tatizo hapa ni serikali za awamu zote ndio zimetufikisha hapa c ajabu hata hilo bwawa la mwl.Nyerere likatumika ndani ya miaka michache tu, tukaja kuambiwa tatizo ni maji, hivyo tuhamie kwenye makaa ya mawe!!kwenye gesi walituambia nini?
 
Na wewe itaje iliyokauka kutokea unakojua?
Bwawa mlisema limekauka mara ikaonekana limejaa na umeme kwa kiwango sawa miezi 7
Ana mbwela mbwela tu huyo bendera fuata upepo achana naye!
 
Kuna watu Wana chuki na mama na Makamba kwa hiyo wanafanya hujuma kusudi Ili kumfitinisha na wananchi aonekane hawezi na hasa wafuasi wa Mwendazake alikuwa kawajaza vitengo mbalimbali.

Ila wacheze salama wakibainika watajuta na wataelewa kwamba Mfu hawezi wasaidia.
Wacha tuone ukweli!
 
Sasa hiyo mtera inayochangia megawati 80 hata kama bado maji yapo ndio itasaidia nini kwenye mahitaji ya megawati 1600?!!vitu vingine muwe mnatumia akili tu.tatizo hapa ni serikali za awamu zote ndio zimetufikisha hapa c ajabu hata hilo bwawa la mwl.Nyerere likatumika ndani ya miaka michache tu, tukaja kuambiwa tatizo ni maji, hivyo tuhamie kwenye makaa ya mawe!!kwenye gesi walituambia nini?

Hayo unayasema wewe. Sisi tunachojua hakuna bwawa lililo kauka.
 
🐒🐒🐒
B0Jj.jpg
 
Na wewe itaje iliyokauka kutokea unakojua?
Bwawa mlisema limekauka mara ikaonekana limejaa na umeme kwa kiwango sawa miezi 7
Nimepita Dar- Singida karibu mito yote imekauka. Mito si zaidi ya 3 inatiririsha maji kidogo sana
 
Haya ndio makosa ambayo yanatutenga na mungu kujipatia mtukufu miongoni mwetu wanadamu.....hata kama angekuwepo huyo mfu leo asingeweza ondoa kiangazi...
 
Wanamuhujumu Mama na Taifa kwa ujumla...

kwa ukorofi wake jpm alikoswa koswa kuuawa mara mbili akiwa waziri,baada ya hapo akajua kwamba maadui wana kiu na damu yake,siku yoyote wanaweza fanikiwa adhma yao.

ikabidi kutumia nguvu kubwa kubadilisha mambo,ukiishakuwa rais ukawa mwoga,basi hakuna sifa yoyote utaacha,mfano mzuri ni vasco dagama,anakumbukwa kwa kucheza mziki na wapinzani tu.

mama anahujumiwa na hofu yake.wala sio watu.
 
Back
Top Bottom