Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

Mto ruaha hapa kilombero maji mengi tu, mpaka yanakwamisha kujenga daraja la kuelekea Ifakara.
 
Daah,yaaani Magufuli kaondoka tu matatizo ya umeme yameanza tena,hawa akina makamba sio wa kuwategemea kwenye haya mambo
 
Haya ndio makosa ambayo yanatutenga na mungu kujipatia mtukufu miongoni mwetu wanadamu.....hata kama angekuwepo huyo mfu leo asingeweza ondoa kiangazi...
Nani kampa utukufu!
 
Chama kimerudi kwa wenyewe
 
Nilidhani ungesema awamu ile kwanini nguvu nyingi ilitumika kubana uhuru wa watu kutoa maoni na kuondolewa hata haki ya kuishi wengine walifungiwa kutembelea hadi nchi za watu! Shame on you
 
Nilidhani ungesema awamu ile kwanini nguvu nyingi ilitumika kubana uhuru wa watu kutoa maoni na kuondolewa hata haki ya kuishi wengine walifungiwa kutembelea hadi nchi za watu! Shame on you
Wacha kukariri maneno!
 
Huo siyo mto Ruaha. Huo ni Mto Kilombero ambao hauna kinu cha kuzalisha umeme. Labda Sliglaz ikikamilika.
Na bwawa la kidatu je?

Mto kilombero upo ifakara, mto ruaha upo hapa kilombero , ndio ule uliopita ruaha mbuyuni kuja iyovi kisha unajaza maji bwawa la kidatu.
 
Pamoja na mapungufu ya JPM ila nchi hii ili iende inahitaji mtu katili kiasi asiye chekacheka na watumishi, maana kuna ujinga mwingi sana kwenye ofisi za umma
 
Toka 2015-2020, ni mwaka upi kulikuwa na ukame mkubwa?kama huu uliopo sasa?tuanzie hapo kwanza, kwani karibia miaka 4 mfululizo Tz, ilipata mvua nyingi sana.
2017 haukuwepo tanzania? ukame wa mwaka huu haujafika hata 1/4 ya mwaka 2017 alafu maigizo yashaanza, alafu wachache wenye maslahi/wasojitambua wanatetea ushenzi wa namna hii.
 
china inaongoza duniani kwa uzalishaji wa umeme wa maji, ikifuatiwa na canada, brazil na marekani bt huwezi kukuta hizi blah blah za maji kupungua.
 
2017 haukuwepo tanzania? ukame wa mwaka huu haujafika hata 1/4 ya mwaka 2017 alafu maigizo yashaanza, alafu wachache wenye maslahi/wasojitambua wanatetea ushenzi wa namna hii.
Sio kweli mwaka 2017, kulikuwa na ukame mkubwa sana!!tena ilikuwa ni kwa baadhi ya mikoa tu, hasa, mwanza, shinyanga, tabora, lakini mikoa mingi ilikuwa n mvua,mimi nilikuwa katavi mvua zilikuwa nyingi tu.lakini kwa mwaka huu karibia mikoa yote hadi sasa mvua bado .
 
Huyo jamaa ni bure kabisa,nimempuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…