Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

We mwenyewe shoga nani ajiregeze kwako wakati usharegezwa na kuregea zamani? Nasikia ushoga ni asili yako kwani hata baba yako naye shoga hata wajomba zako.
Sasa badala ya kutetea hoja yako. Umekimbilia matusi ?!.

Maghufuli ameenda na harudi. Na naona mataga mnatumia nguvu nyingi kumbakisha hai. Haiwezekani na kosa ni kuibeza Corona
 
Mwendazake alichowafanyia wakulima wa korosho hawatamsahau.

Alisema majimbo yaliyochagua upinzani yasipelekewe maendeleo at the same time anakusanya kodi huko tena kwa bunduki.

Alipora pesa kwenye maduka ya kubadilisha pesa za kigeni

Pesa ziliporwa kwenye mabank na kufunga account za watu ( Maelekezo kutoka juu)
Mjinga mmoja Bungeni akasema ni TRA walifanya hiyo kazi sio mwendazake
Kwa nini hayakutokea haya awamu zingine?

Kila aliyetoa wazo mbadala alihakikisha........ kama sio kuteswa.
Unajua watu wengi hatunao
Wengine wameishia magerezani kwa kubambikwa kesi
Wengine wahanga kama Tundulisu n.k

Mnunua mbaazi leo hakuna na ni zao lilikuwa linawapa kipato kikubwa wananchi kule Babati na kwingineko saizi kaulize bei ya mbaazi ...hata watu hawaoni sababu ya kulima tena

Chaguzi zote zilizofanyika alitoa Maelekezo kwa wakurugenzi mpinzani asije akatangazwa mshindi
Alisema wazi wazi
Ndio maana unaona wajinga wamejaa Bungeni ....mradi ule ule alioukataa wa bandari ya bagamoyo wao wanasema upitiswe haraka ni fursa nzuri tusiiachie

Yako mengi kama hujatosheka nitakuongezea
Kuna mazuri mengi kafanya Ndio.
Kuna mabaya mengi sana kafanya Ndio.

Kumuombea mtu aliyekufa ni kutiana moyo
Bibilia inasema; Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa, kwa maana matendo yao yanafuatana nao.
 
We mwenyewe shoga nani ajiregeze kwako wakati usharegezwa na kuregea zamani? Nasikia ushoga ni asili yako kwani hata baba yako naye shoga hata wajomba zako.
Wewe jamaa ni takataka kabisa, hasara kwa aliyekuzaa
 
Heri mimi legacy. Wewe ni letdown na aibu kwetu na kwako binafsi.
Mwendazake kaacha legacy za ajabu ajabu, wadau wanasema na wewe ni moja ya legacy za mwendazake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Legacy ya Mtu Haitetewi inajitetea Hailindwi Inajilinda
 
Huyo mtu hana la kujitetea, aliharibu kabisa biashara ya korosho
Aliharibu kila kitu akajenga chato kukawa Kama DUBAI, makao makuu ya nchi alipaswa ayahamishie Kilimanjaro kuliko mlima mrefu kuliko yote Africa.
Sisi watanzania hatukutaka maendeleo ya vitu isipokuwa ya watu, hata ile kujilinganisha na majirani kwa miundombinu sio sisi kabisa Ni buku Saba hao.
 
Hawaoni alivyoiba na kuwekeza Chato, chato imekuwa Dubai ndani ya GEITA yaani
 
Maneno ya kitoto haya, Mungu ndio anaepima moto na hakuna wakupunguza wala wakujiongezea.

Vitabu vya dini vinatuambia tusihukumu maana tutahukumiwa sasa wewe unahukumu jiandae,motowako umesha pimwa hutajiongezea wala kupunguza.
sina muda , nachosisitiza JIWE aungue salama huko alikojiandalia
 
sina muda , nachosisitiza JIWE aungue salama huko alikojiandali

Mnaroho ngumu sana nyinyi watu.

Ila mboe anawaweza 2025 atawaletea muongo awe mgombea wenu na mta shangilia.
 
Mleta mada kumbuka kuwa;
legancy hailindwi inajilinda, legacy haitetewi inajitetea yemyewe. Asomaye na afahamu haya.
 
duh....ekuweni na tafakuri kabla ya kuanzisha mada,kuna mada zingine unaweza kuanzisha ukaishia kutukanana na kufokeana na wachangiaji,busara zaidi zitumike katika uwasilishaji wa mada
 
Familia ya aliowadhulumu pesa yao ya lorosho yitasema, watumishi wa uma aliowachukia bila sababu na kuwanyima stahiki zao watasema, waliotukanwa hadharani watasema, waliotekwa watasema, waliobomolewa nyumba kionevu bila bila fidia watasema, bahari ilipotupwa miili ya watu kwenye viroba itasema, kiuwanja la chato linaloanza kuoteana nyasi litasema.
 
Mnaroho ngumu sana nyinyi watu.

Ila mboe anawaweza 2025 atawaletea muongo awe mgombea wenu na mta shangilia.
Mboe ndo nani? kaa ukijua JIWE anaugulia maumivu ya moto muda huu
 

hicho ndo ulichokiona tu miaka yote ya utawala wake?
 
Mboe ndo nani? kaa ukijua JIWE anaugulia maumivu ya moto muda huu
Jiwe ndio nani? Mboe amewashikia akili sana endeleeni kuzungusha mikono mbaka siku na yeye akiunga juhudi za Mama kuendeleza kazi ndio mtazinduka.
 
Mwendazake katuachia legacy ya watu ambao kwa akili zao dhaifu wanajua kusujudu, kuabudu na kutukuza watu wasiowajua vizuri...!!
Mwendazake katuachia legacy inayozorotesha mifumo ya usimamizi, uendeshaji na uwajibikaji huku ikunyanyua baadhi ya watu na kuwapa nguvu wasizokuwa nazo!!
 
JPM alikuwa ndie mwanasiasa pekee ambae alikuwa na rekodi nzuri mwaka 2015. Ndio maana chama chake kilikosa mtu mwingine wa kusimamisha dhidi ya Lowasa.

JPM hanaga cha urafiki, linapokuja suala la haki na uwajibikaji.

Wengi waliamini watambadilisha...lakini JIWE sio upepo sijui kwanini hawakuangalia historia yake nyuma.

JPM alikuwa tayari kuacha kazi kisa boss wake anamwingilia kutimiza majukumu yake.

Hakika alikuwa kiongozi wa kipekee na imara kiasi cha mataifa mengine kutamani kuongozwa nae japo hata kwa miezi 6.

RIP Shujaa Dr. John P. Magufuli....

Historia yako itabaki milele. Tanzania ya JPM. iliheshimika sana duniani kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…