Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

JPM alikuwa ndie mwanasiasa pekee ambae alikuwa na rekodi nzuri mwaka 2015. Ndio maana chama chake kilikosa mtu mwingine wa kusimamisha dhidi ya Lowasa...
Kukiingoza kikazi kilichoziea kupiga dili na sabotage za hapa na pale ndani ya serikali, lazima uwe na MTU nusu chuma, na usiwe na huruma uchwara, nchi hii itakutesa bure.

Kama unataka kuchikiwa, ziba mirija ya upigaji, ndiyo utatujua wabongo tukoje. Kwani nilivyojifunza ndani ya kipindi cha Magu, wabongo tunatakiwa kuwa na kiongonzi sampuli ya Magu, usipokuwa hivyo miaka mitano utaiona buku.

Rip Magu
 
Ndio raisi ambaye hakuongeza mishahara wala kuajiri kwa muda wa miaka sita madarakani huku akigawa pesa barabarani
Ndio raisi pekee aliyewaita watu wake wanyonge, maskini na wakati huo huo akiwaita wavivu
Ndio rais pekee aliyepotezea pesa ya Rambirambi
na mengine mengi mazuri ana kama hayo
 
NI ngumu sana kuniaminisha

Mpenzi wa wananchi huyo huyo anawaua wananchi wake wasio na hatia tena wanyonge

Sijasikia ameua fisadi lolote au hata kulifunga fisadi lolote la CCM...kaua wananchi masikini wasio na nguvu yoyote kama Ben na Gwanda,poor people with no cent hata moja,wala hawajamuibia mtu,ni watu walikua na ideas tu

Limekufa,punguani lile,kichaa kabisa
Hahahhaa umenikumbusha eti MAHAKAMA YA MAFISADI
 
Mzee

Is your head deep into your own ass eating your own shit?

Nani kafoji cheti?

Umekua mganga wa kienyeji unafanya ramli?

Sijawahi foji cheti popote na huenda vyeti vyangu vikawa na marks bora zaidi yako na Magufuli combined!

Maana wote nyie ni ma-failure matupu!

Likichaa lile,lina faili Mirembe,limekufa,halipo tena,maiti lile,nenda kajizike nalo...thats a FACT!
Sio kosa langu mkuu...mi sikusababisha utumbuliwe
 
Uzuri binadamu tuna akili sio wanyama..tuna akili ya ku compare mambo...tunaweza compare vizuri alichofanya magufuli na mtangulizi wake. Tunajua alivyokuwa mzalendo kwa hili taifa. Hauwezi lazimisha chuki...
 
Still unazidi kupotea

Hunijui,sikujui,nimetumbuliwa wapi mzee?

Nipo sekta binafsi,on top of that naishi nje ya nchi,sasa sijui hilo limarehemu,kichaa la Mirembe lije America linitumbue wapi kwa mfano?

Stop eating your own shit coming outta yo'ass!

Fvck outta here!
Pole sana mkuu...Jamaa hakuwa na rafiki fisadi.

Hata hivyo majeraha yenu yatapona yupo mama. Rudi sasa nchini ndugu.
 
JPM alikuwa ndie mwanasiasa pekee ambae alikuwa na rekodi nzuri mwaka 2015. Ndio maana chama chake kilikosa mtu mwingine wa kusimamisha dhidi ya Lowasa...
Umesema JPM alikuwa hana urafiki linapokuja suala la HAKI..
Haki ipi Ndugu??
Kweli awamu ya 5 tuliongozwa na kichaa kama alivosema Dialo.
 
View attachment 1758814

Salamuni wanangu janvini.

Japo Hayati John Pombe Magufuli hatarudi kujitetea tokana na madongo anayorushiwa na wasahaulifu wa nchi yetu, anao watetezi yaani legacy yake na Watanzania wenye mapenzi mema na taifa lao. Hivyo, hata kama hawezi kujitetea, wapo watakaomtetea hadi kieleweke.

Naleta uzi huu kusisitiza hili bila kujali nani watachukia au kukwazwa. Hivyo, wanaopoteza muda kumkandia na kumpa majina na sifa mbaya mwendazake, wajue na kufahamu, hawatafanikiwa. Miradi aliyoanzisha itamsemea. Watanzania watamsemea, wenye akili watamsemea wakati waso nazo wakimzomea. Madege aliyonunua yatamsemea.

Madaraja aliyojenga yatamsemea. Mabarabara yatamsemea, Meli zitamsemea, Umeme utamsemea. Hospitali na zahanati zitamsemea. Flyover zitamsemea na kuwazomea wanaomzomea. Tanzania, Afrina na Dunia watamsemea. Majengo hata ndege watamsemea. Wote watamtetea na kuwazomea wanaomzomea. Wengi watamkumbuka si leo wala kesho bali kwa muda mrefu.

Mpende au mchukie, Magufuli ameacha legacy isiyo ya kawaida kama alivyosema alhaj Ali Hassan Mwinyi mzee wetu au rais wetu SSH aliyewakemea wabunge kuacha ubuge na ujinga wa kumlinganisha na bosi wake. Mwenye akili na tie akilini. Menye macho na aone. Na mwenye masikio na asikie. Siombi radhi kwa haya nilonena hapa. Asanteni sana.

Naomba kuwasilisha kwa wenye akili.
Takataka tu Mwendazake. Jiulize yafuatayo;

1. loansboard 15%

2. Wasiojuoikana

3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)

4. Kubambikiza watu kesi
za uhujumu uchumi

5. Uonevu wa Bashite

6. sakata la korosho

7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi

8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki

9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public

10. Kutoheshimu katiba

11. Mishandle ya Covid - hasa second wave

12. rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)

13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake

14. Propaganda kali, uongo na brainwashing

15. Kuharibu private sector

16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015

17. Kuua private sector

18. White elephant projects tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge

19. Kutoongeza nyongeza na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria

20. TRA kubambika watu kodi
 
Back
Top Bottom