Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

JPM alikuwa ndie mwanasiasa pekee ambae alikuwa na rekodi nzuri mwaka 2015. Ndio maana chama chake kilikosa mtu mwingine wa kusimamisha dhidi ya Lowasa...
Kukiingoza kikazi kilichoziea kupiga dili na sabotage za hapa na pale ndani ya serikali, lazima uwe na MTU nusu chuma, na usiwe na huruma uchwara, nchi hii itakutesa bure.

Kama unataka kuchikiwa, ziba mirija ya upigaji, ndiyo utatujua wabongo tukoje. Kwani nilivyojifunza ndani ya kipindi cha Magu, wabongo tunatakiwa kuwa na kiongonzi sampuli ya Magu, usipokuwa hivyo miaka mitano utaiona buku.

Rip Magu
 
Ndio raisi ambaye hakuongeza mishahara wala kuajiri kwa muda wa miaka sita madarakani huku akigawa pesa barabarani
Ndio raisi pekee aliyewaita watu wake wanyonge, maskini na wakati huo huo akiwaita wavivu
Ndio rais pekee aliyepotezea pesa ya Rambirambi
na mengine mengi mazuri ana kama hayo
 
Hahahhaa umenikumbusha eti MAHAKAMA YA MAFISADI
 
Sio kosa langu mkuu...mi sikusababisha utumbuliwe
 
Uzuri binadamu tuna akili sio wanyama..tuna akili ya ku compare mambo...tunaweza compare vizuri alichofanya magufuli na mtangulizi wake. Tunajua alivyokuwa mzalendo kwa hili taifa. Hauwezi lazimisha chuki...
 
Pole sana mkuu...Jamaa hakuwa na rafiki fisadi.

Hata hivyo majeraha yenu yatapona yupo mama. Rudi sasa nchini ndugu.
 
JPM alikuwa ndie mwanasiasa pekee ambae alikuwa na rekodi nzuri mwaka 2015. Ndio maana chama chake kilikosa mtu mwingine wa kusimamisha dhidi ya Lowasa...
Umesema JPM alikuwa hana urafiki linapokuja suala la HAKI..
Haki ipi Ndugu??
Kweli awamu ya 5 tuliongozwa na kichaa kama alivosema Dialo.
 
Takataka tu Mwendazake. Jiulize yafuatayo;

1. loansboard 15%

2. Wasiojuoikana

3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)

4. Kubambikiza watu kesi
za uhujumu uchumi

5. Uonevu wa Bashite

6. sakata la korosho

7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi

8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki

9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public

10. Kutoheshimu katiba

11. Mishandle ya Covid - hasa second wave

12. rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)

13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake

14. Propaganda kali, uongo na brainwashing

15. Kuharibu private sector

16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015

17. Kuua private sector

18. White elephant projects tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge

19. Kutoongeza nyongeza na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria

20. TRA kubambika watu kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…