Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

 
Kafanya mengi yani mengi mnooo
Miaka sita hakuna kupandisha mishahara
Kakomesha ajira
Bodi ya mkopo kaitoa 8% hadi 15% jumlisha makato ambayo hata bodi yenyewe hawajui ni ya nini ila yapo.
Kafanya mengi kwakweli hayo ni kidogo sana tunamsifu.
Evelyn, alikuwa na mapungufu yake JPM. Lakini pia kuna vitu alijiwek
asahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…