Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kuna mtu alishauri viziru juu ya kaburi lake kuwekwe pinguLabda baba wa kambo wa taifa, ametutesa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu alishauri viziru juu ya kaburi lake kuwekwe pinguLabda baba wa kambo wa taifa, ametutesa sana.
Umeme na maji havikuwepo kwenu?Vipi kuhusu umeme,maji ulikuwa unayapata. Ukienda ofisi za serikali ulikuwa unasikilizwa?
Umeme na maji kitambo vipo tu, labda kama wewe umeunganisha maji na umeme kipindi chake ndio ukahisi labda kakuletea yeye.Vipi kuhusu umeme,maji ulikuwa unayapata. Ukienda ofisi za serikali ulikuwa unasikilizwa?
Hazikuwepo 24/7Umeme na maji havikuwepo kwenu?
SawaHazikuwepo 24/7
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.
Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.
Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.
Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.
Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.
Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Wewe kwenu si una baba? Unaonaje huyo Magufuli mumpe hiyo nafasi ya kuwa Baba wa Pili wa Familia!
Tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kuanza kumuongelea Kiongozi wa Malaika, kwanza katuchelewesha sana huyo mzee!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mumtukane hakufanya chochote kwa taifa letu.Umeme na maji kitambo vipo tu, labda kama wewe umeunganisha maji na umeme kipindi chake ndio ukahisi labda kakuletea yeye.
Kafanikiwa kuweka nidhamu ya uoga makazini
😂😂😂😂 Aiseee JF!Labda baba wa kambo wa taifa, ametutesa sana.
Kafanya mengi yani mengi mnoooMumtukane siyo hakufanya chochote kwa taifa letu.
Evelyn, alikuwa na mapungufu yake JPM. Lakini pia kuna vitu alijiwekKafanya mengi yani mengi mnooo
Miaka sita hakuna kupandisha mishahara
Kakomesha ajira
Bodi ya mkopo kaitoa 8% hadi 15% jumlisha makato ambayo hata bodi yenyewe hawajui ni ya nini ila yapo.
Kafanya mengi kwakweli hayo ni kidogo sana tunamsifu.
Ndio uniambie hivo vitu vizuri sasa, ili nielewe.Evelyn, alikuwa na mapungufu yake JPM. Lakini pia kuna vitu alijiwek
asahihi.