Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.

Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.

Nini madhara yake?

Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.

Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.

Bureu de changes nazo the same stories.

Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
 
Najaribu kuwaza tu kwa sauti jpm angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.

Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.

Nini madhara yake?

Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.

Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha

Bureu de changes nazo the same stories.

Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Wataje hao wawekezaji ambao wangesha kimbia kama Magu angekuwepo mpaka sasa!.,usiseme DP WORLD sababu wasigekuwepo.
 
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.

Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.

Nini madhara yake?

Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.

Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.

Bureu de changes nazo the same stories.

Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Yule alikuwa ni rais wa hovyoo...NB kama ipo ipo tu
 
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa kabisa
 
Ninachojua Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais basi Tanzania ingekuwa imeendelea kwa Kasi na Maradufu kuliko sasa, Wapumbavu, Wanafiki na Wendawazimu wangepungua kama si Kuisha kabisa na Thamani ya Shilingi ya Tanzania ingepaa zaidi, Uchumi kukua vizuri, Wakulima kuneemeka na Maisha ya Watanzania wa chini yangeimarika, Ushirikina na Mauwaji ya Vikongwe na Maalbino visingekuwepo, Ujambazi ungeota mbawa na Huduma maeneo mbalimbali nchini zingeendelea kuwa vizuri huku Dawa Mahospitalini zingekuwepo na Heshima ya Wauguzi na Madaktari kwa Wagonjwa ingekuwa ya juu huku Rushwa ikiwa ni Historia Tanzania.

Ukiona GENTAMYCINE nampenda sana Mtu fulani jua nimemuona ana Akili na ukiona namchukia mno jua hana Akili.

Rest In Peace Jemedari wangu Hayati Magufuli. Utapuuzwa na Kusemwa hovyo ila WATETEZI wako tupo na tunakuenzi.

Imeisha hiyo Kudadadeki..........!!!
 
umehamia Huku?
 
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.

Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.

Nini madhara yake?

Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.

Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.

Bureu de changes nazo the same stories.

Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Angekuwa ameshakufa
 
Bank ya Efatha na FnB ziajiri watu 2000 😄
 
Kichekesho kama hiki kinapatikana kwa nyumbu wengine
 
Back
Top Bottom