Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

Jamaa kwenye uchumi alikuwa hamna kitu , alikuwa yupo vzuri kwenye ukiranja ( kusimamia) Ila sio kuongoza
 
Wee ni Mjinga... Wawekezaji wakimbie alafu aliwezaje kuingia Nchi katika Uchumi wa Daraja la Kati?.


Hivi vichwa vyenu Huwa vina matope?.
Tanzania haijawahi kuingia uchumi wa kati ndo mana waandishi wa habari walikiwa hawaruhusiwi kimhoji ili asiumbuke
 
Kwani Sasa hivi mbona vijana wanaranda mitaani??
Ajira ziko wapi?
Mama yohana kazi ni kukoboa nafaka na wanawake wenzio mpaka anawagombanisha wale wapishi maarufu dar💔
We unaongea nini?
 
Kwani Sasa hivi mbona vijana wanaranda mitaani??
Ajira ziko wapi?
Mama yohana kazi ni kukoboa nafaka na wanawake wenzio mpaka anawagombanisha wale wapishi maarufu dar💔
We unaongea nini?
Wawekezaji ni ajira ndugu. Sasa hivi uwekezaji ni mwingi kuliko maelezo kwa seta nzuri za mama
 
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.

Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.

Nini madhara yake?

Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.

Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.

Bureu de changes nazo the same stories.

Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Kwamba waarabu ndo wa maana au sio?
 
Naona unaandika usichokijua au unatumia stori za mitaani. Hivi unajua benki ya Efata pamoja na covenant ni kwa kiasi ziliwaibia watanzania wa kipato cha chini?
Hivi unajua huyo anayesema alitengeneza ajira 400 ni kwa kiasi gani aliingizia hasara Serikali? Unamjua mtu ambaye Rais alisema amekopa benki tano bila kulipa akakimbia?

Tanzania kwa kiasi kikubwa hatukaribisha wawekezaji bali wadokozi ambao wanakuja kwa mgongi wa uwekezaji wakati wakiwa wababaishaji ndo maana hawataki viongozi wenye misimamo yake.

Pamoja na kwamba labda ulikuwa na hoja ili mifano uliyoitumia ukipata ukweli wake unajiona wewe MJINGA SANA.
Samahani na asante.
Shida siyo kuwathreaten mana mwekesaji loop hole ikiwepo lazima aibe. We uliyeingia madarakani kazi yako ni kuziba mianya tu kimyskimya. Huu ndo uongozi kama anayofanya Samia
 
Sasa kama uwekezaji ni mwingi kuliko maelezo., Mbona hatuoni matunda matunda ya uwekezaji huo.
Matunda ya uwekezaji inabidi tuyaone watanzania wote na sio hao wenye mamlaka.
Ndo wameanza. Uwekezaji siyo kunywa kahawa ndugu. Ni long term investments.
 
Mwekezaji anayefuata taratibu za nchi husika haogopi vitisho kwa sababu havimhusu.

Yaani kupitia hii mada nimekuona mtu wa hovyo sana hata kama una chuki na mtu jaribu kutafuta madhaifu yake yaliyo wazi siyo huu ujinga ulioleta hapa.
Nyie ndo mnatumika na hao wawekezaji wa kutoka Asia kuwadhulumu na kuwafanya watumwa watanzania kwa kigezo cha uwekezaji
Kwanza alizuia demokrasia kwa kuwazuia upinzani kukosoa wala kufanya siasa. Hiintayari ni threat kwa mwekezaji
 
Kwanini tusianze kuona mimea ya matunda hayo Ulosema yataonekana awamu ya pili ikiwa inastawi vizuri.,katika hii awamu ya kwanza?
Usiwe mtoto basi. Ngoja nikupe mfano. Mwekezaji labda wa kiwanda A unafikiri mpaka kifanye kazi kinachukua mda gani kama siyo five years and above.
 
Kwanza alizuia demokrasia kwa kuwazuia upinzani kukosoa wala kufanya siasa. Hiintayari ni threat kwa mwekezaji
Yaani mwekezaji aogope eti kisa wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa? Ebu kuweni na aibu kidogo basi. Punguza kujidharirisha basi inatosha. Hivi wabongo huwa tunafikiri kuna nchi inayojari hizi biashara tunazoziita siasa?
 
Back
Top Bottom