hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.
Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.
Bureu de changes nazo the same stories.
Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Kama hujui vitu uwe unauliza
Bank ya efatha haikufungwa na mafuli, ilifungwa na bank kuu
Na sababu ilikuwa ni mambo ya kisheria na ela za kuweka kama dhamana hawakuwa nazo ambazo zinaitajika kisheria
Au ww ulitaka watu waweke ela zao na siku wakienda kutoa waambiwe hakuna ela?
Magu hata kama ana mapungufu but ana mazuri yake mengi Sana
Hao vijana unasema mbona sasa hivi ndio wako wengi Sana mtaani?
Wanauza utumbo wa kuku Tu na bachelor zao