Hayati Magufuli angekuwepo SGR Dar-Moro na Bwawa la Mwl. Nyerere vingekuwa vinafanya kazi

Kuchelewa kukamilika miradi huwa ni suala la kawaida, mwamba mwenyewe mzalendo no.1 alitamani na alipambania haswa sgr dar to Moro kufikia December 2019 iwe imeanza kazi lkn tofauti na mategemeo mpaka 2021 ilikuwa bado, so msiwe na wasiwasi mama Yuko kazini kabla ya 2025 sgr itakuwa mzigoni.
 
Hilo bwawa kelele za miaka mitatu ya utawala wake na aliacha lipo 30% tu,miaka miwili ya mwanamke wa shoka lipo 92%+
 
Wewe ya Mungu unayajuaje, may be angekuepo angekua ICC ikinyea ndoo, ulifikili upepo ulikua mzuri kwa upande wake, Mungu ni Mungu ndo maana hata haonekani
 
Huo ni ukweli usio na pingamizi.
 
Moja maneno yake nanukuu:MTANIKUMBUKA.
 
Mama alimpendelea sana Makamba alimruhusu kufukuza top management yote pamoja na bodi yao.
Makamba alikiita hicho kitendo ni kung'oa engine yote ili watanzania wapate umeme wa uhakika.

Cha ajabu miaka 2 baada ya engine kung'olewa hali ya umeme ni mbaya zaidi.
 
Asingeweza mana walipa Kodi walikuwa wamebaki ni machinga tu. Wafanyabiashara na walipa Kodi wakubwa walikuwa wameshasepa. Pesa angeitoa wapi Sasa. Ashukuru mungu tu kumpumzisha mana ingekuwa aibu
Hebu list hapa chini wafanyabiashara ambao walikuwa listed BRELA na walikuwa walipa kodi wazuri walikumbia enzi za hayati Magufuli
1,......
2........
3......
4.......
5.........

Ukishindwa kuwaorodhesha wewe ni mbwa koko
 
Alikufa aliuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…