mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Yule jamaa ukiachilia kisasi na chuki aliyokua nayo kwa baadhi ya vitu na watu alikua raisi mzuri sana aliboresha hata utendaji serikalini.
Sasa hivi document inatoka unaambiwa bado mtu 1 kusaini huyo mtu sasa anaingia asubuhi kazini anafungua App kwanza kuangalia Tamthilia aliyoimiss usiku.
Akimaliza anapitia magroup yote ya whatsapp akimaliza anakunywa chai lisaa akimaliza anapigia simu nyumbani kwao anaongea na kila mtu hapo nusu saa kabla ya lunch time anasogeza file kama ana lisaini analiacha hapo juu ya meza anaenda kutafuta chakula akirudi analifungua kurasa mbili ya minutes na ya maelekezo kisha anaita mtu wa manunuzi kujadili halafu anasema ntalisaini kesho.
Siku imepita , wiki, mwezi , miezi , mwaka watu mnasubiri huduma tu !!! Ingewezekana yule mzee tungemfufua tu