Hayati Magufuli angekuwepo tungekuwa mbali

Hayati Magufuli angekuwepo tungekuwa mbali

Pole mkuu tuvumilie tu.

Wacha tulambe asali na tuwarithishe watoto wetu mashimo yaliyoachwa na wawekezaji.

Kipindi hicho mbuga za wanyama watakua wamebakia mbuzi tu.

Maana meli za kubeba wanyama zitakua zimewamaliza wote.
We kweli duwazi, Magufuli ndiyo aliwaleta hao wanyama au aliwakuta? Sana sana aliwapeleka wanyama Hifadhi ya Burigi-Chato. Mnabwabwaja tu kamfufueni au mzikwe naye km alivyowaambia Zito. Mipopoma tu nyie
 
Back
Top Bottom