Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,718 Reaction score 5,899 Jul 13, 2022 #21 Hahahah santesandy said: Na ikishindikana kumfufua, bora ufe tu, umfuate kwenye ufalme wa malaika, ambapo yeye ndo mkuu wao kwa Sasa! Click to expand...
Hahahah santesandy said: Na ikishindikana kumfufua, bora ufe tu, umfuate kwenye ufalme wa malaika, ambapo yeye ndo mkuu wao kwa Sasa! Click to expand...
S saigilomagema JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 4,683 Reaction score 7,222 Jul 15, 2022 #22 Stroke said: Pole mkuu tuvumilie tu. Wacha tulambe asali na tuwarithishe watoto wetu mashimo yaliyoachwa na wawekezaji. Kipindi hicho mbuga za wanyama watakua wamebakia mbuzi tu. Maana meli za kubeba wanyama zitakua zimewamaliza wote. Click to expand... We kweli duwazi, Magufuli ndiyo aliwaleta hao wanyama au aliwakuta? Sana sana aliwapeleka wanyama Hifadhi ya Burigi-Chato. Mnabwabwaja tu kamfufueni au mzikwe naye km alivyowaambia Zito. Mipopoma tu nyie
Stroke said: Pole mkuu tuvumilie tu. Wacha tulambe asali na tuwarithishe watoto wetu mashimo yaliyoachwa na wawekezaji. Kipindi hicho mbuga za wanyama watakua wamebakia mbuzi tu. Maana meli za kubeba wanyama zitakua zimewamaliza wote. Click to expand... We kweli duwazi, Magufuli ndiyo aliwaleta hao wanyama au aliwakuta? Sana sana aliwapeleka wanyama Hifadhi ya Burigi-Chato. Mnabwabwaja tu kamfufueni au mzikwe naye km alivyowaambia Zito. Mipopoma tu nyie
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,207 Reaction score 17,674 Jul 15, 2022 #23 Inasikitisha