Unaunga mkono hoja kuwa alikuwa ni mtu wa upendeleo? Watu wa Kimara wavunjiwe nyumba lakini wa Mwanza wasivunjiwe kwavile walimpigia kura!!! Alianza vizuri lakini pale alipoanza kuwapa kichwa wakina Bashite na Sabaya kufanya uhalifu kwa Jina lake , hapo ndipo alipojiharibia!Naunga Mkono Hoja!.
P
Isingekua 17/03/2021, katiba ingebadilishwa na saba ya nyongeza ingepita na wanyonge la kufanya tusinge kuwa nalo.Kwa mauaji, utesaji na ukatili anaodaiwa kuufanya Magufuli basi hakuna kizazi kitamsahau au kupita bila kumlaani. Wapo watu ipo siku wataenda kulichapa viboko kaburi lake.
Hivi kama Magufuli alishajua kuwa huenda muda mfupi atakufa, kwanini hakutubu mbele ya watanzania ili watu wasamehe ukatili uliowahi kuufanya?
Kingai ametufundisha kitu kunaitwa PGO.Wapi Ben Saanane?wana JF mna pretend mno na maisha haya ni ya kinafiki mno, Ben Saanane alikua mwenzetu humu, binadamu mwenzetu, mtanzania mwenzetu na mwenye familia yake, nani humu anaweza ishi bila ya kuwa na familia yake around?,nimemwona Mr.Kingai naye akitoka nyumba takatifu!historia na wakati vitakuja kutuhukumu
Kwanini wakati huo rais alituhumiwa moja kwa moja tofauti na sasa?Kwa mauaji, utesaji na ukatili anaodaiwa kuufanya Magufuli basi hakuna kizazi kitamsahau au kupita bila kumlaani. Wapo watu ipo siku wataenda kulichapa viboko kaburi lake.
Hivi kama Magufuli alishajua kuwa huenda muda mfupi atakufa, kwanini hakutubu mbele ya watanzania ili watu wasamehe ukatili uliowahi kuufanya?
Mkuu hawezi sahaulika kamwe hata wewe huwezi kumsahau.trust me akina SABAYA type ndio wamefanya Magufuli asahaulike kirahisi hivi!
Kwanini wakati huo rais alituhumiwa moja kwa moja tofauti na sasa?
Kuna vijana wanapotea, wengine wanauawa ama kufungwa kwa madai ya ugaidi; kwanini hatajwi rais kuhusika?
Au ndio kusema, tusiyoyajua ni mengi kuliko tuyajuayo? Na kwamba siasa za nchi yetu zimejaa propaganda nyingi kuliko ukweli/ uhalisia? [emoji848]
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!
Je vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?View attachment 2153375
Umenena vyema watanzania sasa tuna amani ujue watu waliishi kwa woga sana nimeona hata mke wake amenenepa aisee kumbe alikuwa anapumulia jujuu kama sisi.Pole mama Janet Mungu akutie nguvuKwa mauaji, utesaji na ukatili anaodaiwa kuufanya Magufuli basi hakuna kizazi kitamsahau au kupita bila kumlaani. Wapo watu ipo siku wataenda kulichapa viboko kaburi lake.
Hivi kama Magufuli alishajua kuwa huenda muda mfupi atakufa, kwanini hakutubu mbele ya watanzania ili watu wasamehe ukatili uliowahi kuufanya?
Ndiyo, niko na weyeKosa lilofanyika 2015 kama Taifa inabidi tumuombe sana Mungu lisije kujirudia tena kwenye Nchi yetu