Hayati Magufuli atakumbukwa kwa msimamo na maono yake kwa Taifa

Hayati Magufuli atakumbukwa kwa msimamo na maono yake kwa Taifa

Mauaji,Utekaji,Wasiojulikana,Upendeleo,Ukabila,Kujisifia,Wizi wa Kura,Kubambikia wapinzani kesi,Kununua Wapinzani,Kuongea hovyo hovyo ni baadhi ya mambo tutakayokosa.

1. Chato International Airport
2. Chato National Park
3. Chato CRDB
4. Chato Bohari ya madawa ya kanda
5. Chato VETA
6. Chato Hotel TANAPA
7. Chato Zimamoto
8. Chato Hospital rufaa
9. Chato Mahakama
10. Chato 🚦
11. Chato .....

Bwana yule alichezea kodi zetu,bora kaondoka hana maana kabisa.
Kwahiyo kwa kuwa alitokea Chato unataka kusiwe na maendeleo?
 
Kingai ametufundisha kitu kunaitwa PGO.
Safi kabisa,
ila ningepewa fursa ya kuiandika tena hiyo sentensi, ningeandika hivi;
Katika USHETANI wao, Kamanda Kingai ametufundisha kuwa kuna kitu kinaitwa PGO
 
Mauaji,Utekaji,Wasiojulikana,Upendeleo,Ukabila,Kujisifia,Wizi wa Kura,Kubambikia wapinzani kesi,Kununua Wapinzani,Kuongea hovyo hovyo ni baadhi ya mambo tutakayokosa.

1. Chato International Airport
2. Chato National Park
3. Chato CRDB
4. Chato Bohari ya madawa ya kanda
5. Chato VETA
6. Chato Hotel TANAPA
7. Chato Zimamoto
8. Chato Hospital rufaa
9. Chato Mahakama
10. Chato 🚦
11. Chato .....

Bwana yule alichezea kodi zetu,bora kaondoka hana maana kabisa.
1. Bagamoyo imefumuliwa barabara za vumbi na kuanza kujengwa kila mtaa barabara za lami zilizochini kiwango
2 Bagamoyo fukwe zote zilizozuiliwa kwa hifadhi ya kingo na kutunza mazingira zimeuzwa kwa matajiri na kuanza kujengwa sehemu za starehe
3. Bagamoyo iliyokuwa imedhibitiwa uingizwaji holela wa bidhaa kutoka ng'ambo kupitia Zanziibar sasa ni uwanja huru huku matanga, pantoni na boti zikipishana
4. Bagamoyo yenye hifadhi ya wanyama pori walikuwa wamefichwa ila kwa sasa imewekwa wazi ikiitwa Kiromo Park (Mali ya nani? Haijulikani)
5. Bagamoyo kijiji cha Pande na Zinga ambacho wakazi wake walilipwa kupisha ujenzi wa badari kwa sasa wamerejea na kujiandikisha upya ili walipwe tena!!
6. Kisarawe- barabara iliyoanzishwa kujengwa kwa lami kuelekea kwenye hifadhi ya Nyerere kupitia Mkamba na Masaki imesitishwa na kuzusha huzuni kubwa kwa wakazi wake lakini hata watalii kusita kutembelea ifikapo msimu wa mvua
7. Uhamasishaji wa viwanda uliofanywa na waziri wa kipindi hicho Charles Mwijage na vikajengwa kwa kasi huko Bagamoyo, Chalinze, Kibaha na Mkuranga vingi kwa sasa vimegeuzwa maghala na yanakodishwa au miundo mbinu yake imeng'olewa kabisa
8. Mapori makubwa ya kuanzia Ruvu darajani hadi unafika Chalinze yamenunuliwa na wachina na kuanza kujenga viwanda au shughuli zingine ijapokuwa eneo husika ni kame na tegemezi kwa maji toka Ruvu na Wami

Badala ya kuwekeza viwanda kwa mazao ya shambani huko Morogoro, Iringa, Mbeya, Dodoma na Manyara ili kupeleka karibu huduma na kuinua uchumi wa maeneo husika kila kitu kinapelekwa Dar Es Salaam

There is no longer a constructive and productive vision to be interpreted into practice rather the wishes of the elites and merchants are encompassing the nation's economy with exploitations for super profit reaping!!!!
 
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!

Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?

View attachment 2153375
Acha kutetea upumbavu, hakuna mnyonge hapa. Magufuli aliwafanya mtaji wa kuendeleza UDIKTETA wake, na nyinyi mukaanza kumuita mungu.

Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu!! (Yeremia 17:5)
 
Mwaka umekatika bt it look like yesterday...
Kuna mengi yamebadilika ambayo nahisi angekuepo yangefanyika tofauti na kwa kasi kubwa...

Kasi ya Utendaji imepungua na Kasi ya kupiga domo imeongezeka...zama hizi naweza kuchora ramani ya nyumba na nikajivunia kua ni mafanikio...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Enzi za mawaziri kukimbizana site zimeisha..

Enzi za kujivunia uchapakazi na miradi mmoja baada ya mwingine sizioni tena now tupo bze mikutano, makongamano, warsha na Safari...

From hard workers to Mediocre in just one yr.

Yapo Mengi ya kukumbuka bt niseme tu God is good all the time, hawezi kuliacha jambo lifanyike bila kua na sababu zake...
Lifes goes on.....
Rest in Power A true Son of of Africa.
Magufuli ni shujaa wa mburula kama wewe Gobole ambao hamna uwezo wa kuchambua uwongo na ukweli. Wahanga wa propaganda za Magufuli aliyekandamiza vyombo huru vya habari ni wale ambao hawajasoma kabisa, wanyonge, darasa la 7 na wale wanufaika wa utawala wake.

Dikteta wa Chato kaharibu uchumi kwa UJINGA wake anaouita vita vya uchumi na WAPUMBAVU mnakubali kulikuwa vita vya uchumi.

Haya kwenye korosho nani alimshinda?
 
Kataaa , ukatae , kubali , ukubali , huo ndo ukweli. Daima............
gettyimages-1187384952-594x594.jpg

Pumzika Kwa amani.
 
Kizuri🐒🐒🐒
 
Aendelee kupumzika kwa amani🙏
Binafsi nammiss kwa mengi mazuri
 
Yu wap Saanane we jiwe????
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!

Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?

View attachment 2153375
 
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!

Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?

View attachment 2153375
Hamna atakumbukwa KWa kuligawa taifa, na kutuachia mashimo matakatifu katika Taifa letu,
 
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!

Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?

View attachment 2153375
Atakumbukwa kua muuaji alieua na kuweka maiti kwenye viroba
IMG_20220317_140418.jpeg
 
Kwanini wakati huo rais alituhumiwa moja kwa moja tofauti na sasa?

Kuna vijana wanapotea, wengine wanauawa ama kufungwa kwa madai ya ugaidi; kwanini hatajwi rais kuhusika?

Au ndio kusema, tusiyoyajua ni mengi kuliko tuyajuayo? Na kwamba siasa za nchi yetu zimejaa propaganda nyingi kuliko ukweli/ uhalisia? [emoji848]
Shida ya nchi yetu wahalifu kwa jina la siasa "viongozi" wanalindwa lakini wale wanaojali maslahi ya nchi ndiyo wanakuwa branded kama "wahalifu"...Akili hii Mungu mwenyewe anajua itatufikisha wapi
 
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!

Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?

View attachment 2153375
Halafu kuna prof mmoja kichaa anasema eti hakuwa na maono, hivi yeye pamoja na huo u prof alishawahi kulifanyia nini hili taifa???? Yaani kuna watu watakufa vifo vya kimasikini sana kichwani. Dkt Magufuli hata kama waki degrade nafasi yake mionyoni mwa watanzania hakuna wa kuiondoa na uziri alishafariki hayupo na hawezi kujitetea na aliyoyafanya ni alama tosha itakayodumu daima ktk taifa letu. Na kibaya wanaomdharirisha wapo labeled kama traitors na watanzania wanawajua vizuri ila hawasemi kitu maana wanajua iliyokweli
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Usisahau katuachia na bunge la Kijani
Hapa alikosea sana sana...Sijui kwanini alikuwa obsessed na kuifanya nchi kutokuwa na wapinzani...Hilo kwakweli ni kosa ambalo halina utetezi kwangu
 
Atakumbukwa kua muuaji alieua na kuweka maiti kwenye virobaView attachment 2154432
Halafu huu ujinga mnautoaga wapi???? Yaani mnadanganywa kidogo na propaganda mnasadiki??? Hivi kipindi cha Mama Samia watu hawafi kwa vifo vya ajabu? Hivi serikali ni wajinga waue na kuzika kizembe hivyo??? Ungejua wewe ulitakiwa post nguvu ya serikali usingeshabikia huu ujinga. Dkt Magufuli hakuwa muuaji na hajawahi kuwa muuaji. Alikuwa ni mcha Mungu aliyeamini ktk umoja wa kitaifa. Mungu akulaani wewe unayeamini ujinga huu mpaka na kizazi chako kobe mkubwa
 
Back
Top Bottom