Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli alikuwa Bora na pia alikuwa na madhaifu yake, sasa watu wayachukue yale mema yake na wayaache yale yaliyokuwa mabaya ! That's it !!Magufuli ameumiza maisha ya innocent people wengi. Wengi aliwwadhalilisha hadharani.
Asingekuwa na kasoro hiyo angekuwa kiongozi Bora sana
Pengo lake halina spea, serikali yake ilisifika kwa utekelezaji serikali ya sasa hivi inasifika kwa maneno na malalamiko mengi bila utekelezaji.Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!
Je vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?View attachment 2153375
Aturudishie Kwanza aliowapotezaNi kweli alikuwa Bora na pia alikuwa na madhaifu yake, sasa watu wayachukue yale mema yake na wayaache yale yaliyokuwa mabaya ! That's it !!
Na bado hivi sasa ule uhovyo wake anauhamishia kwa Samia! Huoni jinsi chawa wake wanavyorudi madarakani?Kiikwte ndio rais wa hovyo kabiisa kutokea
Ametuachia bunge la KijaniKwanini wakati huo rais alituhumiwa moja kwa moja tofauti na sasa?
Kuna vijana wanapotea, wengine wanauawa ama kufungwa kwa madai ya ugaidi; kwanini hatajwi rais kuhusika?
Au ndio kusema, tusiyoyajua ni mengi kuliko tuyajuayo? Na kwamba siasa za nchi yetu zimejaa propaganda nyingi kuliko ukweli/ uhalisia? [emoji848]
Pengo lake halina spea, serikali yake ilisifika kwa utekelezaji serikali ya sasa hivi inasifika kwa maneno na malalamiko mengi bila utekelezaji.
Wale wenye mimba zako za chuki kwenye vichwa na mawazo yao, waliodai "hamna uhuru wa kujieleza ",baada ya kuingia Mama wakadai sasa hivi kuna uhuru wa kujieleza, cha ajabu.
Pamoja na uhuru wakujieleza.
1.Mgao wa umeme kimya
2.Mgao wa maji kimya.
3.Tozo kimya.
4.Bei ya mafuta imepanda tokea mwaka jana mwishoni, amabayo imegusa bidhaa nyingine kimya.
5.Watu wanajipigia hela plus utendaji na uwajibikaji wa watumishi umepungua kimya.
Unajiuliza sasa uhuru wa kuongea walikuwa wanaudai katika mambo gani, ikiwa mambo yanayo yagusa wananchi hawaongei labda may be uliwabana sana kwenye issues zao za Magendo.
Bahati kwa nature ya kazi yangu nimezunguka sana baadhi ya mikoa,nimeshudia hospitali ulizojenga kila wilaya, mahakama kila wilaya barabara za kisasa,nimeshuhudia majengo mapya ya ofisi za wakuu wa wilaya na wakurugenzi na zaidi nilishuhudia barabara ya km 50 ya zege kuelekea Ludewa.
Pumzika tu ila pengo lako halina spea, vitu ulivyo vifanya vinaonekana huitaji kutumia nguvu.
RIP Chuma John Pombe Magufuli.
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!
Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?
View attachment 2153375
Hata yeye hivi sasa hayupo tena ! Lakini maisha yanaendelea na pia Mimi na wewe iko siku tutaondoka na maisha yataendelea kama kawaida !! Kila MTU ana mabaya yake na mazuri yake tujitahidi kujifunza kuchukua yale mema ya watu katika jamii na kuyaendeleza na pia kujifunza na kuyaacha yale yote mabaya ya Hao watu katika jamii !! Iwe ni kwa viongozi au kwa watu wa kawaida hakuna aliyekamilika !! "Aturudishie Kwanza aliowapoteza
Naunga mkojo hojaPamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!
Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?
View attachment 2153375
Mkuu huku kuna pesa ee acha asee...now tupo bze mikutano, makongamano, warsha na Safari...
Acha propaganda hizo wewe?Mwaka umekatika bt it look like yesterday...
Kuna mengi yamebadilika ambayo nahisi angekuepo yangefanyika tofauti na kwa kasi kubwa...
Kasi ya Utendaji imepungua na Kasi ya kupiga domo imeongezeka...zama hizi naweza kuchora ramani ya nyumba na nikajivunia kua ni mafanikio...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Enzi za mawaziri kukimbizana site zimeisha..
Enzi za kujivunia uchapakazi na miradi mmoja baada ya mwingine sizioni tena now tupo bze mikutano, makongamano, warsha na Safari...
From hard workers to Mediocre in just one yr.
Yapo Mengi ya kukumbuka bt niseme tu God is good all the time, hawezi kuliacha jambo lifanyike bila kua na sababu zake...
Lifes goes on.....
Rest in Power A true Son of of Africa.