untimwenge
Member
- Apr 27, 2020
- 55
- 105
Hivi mwanzilishi wa kesi ya Mbowe ni nani, siyo mwendazake ila ikamwangukia tu mama?Ukigusa maslahi ya 'beberu' lazima ushughulikiwe kikamilifu, na njia mojawapo ni kutumia vyombo vya habari kupiga propaganda chafu. Hebu fikiri kiwango cha shutuma na lawama ambazo zingevuma kwenye vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa alichofanyiwa Mbowe (kuwekwa gerezani) awamu hii, kingefanyika awamu iliyopita.
Mungu wetu ni mwema sana, uzuri kwenye kifo hakuna mbabe wala mnyonge