untimwenge
Member
- Apr 27, 2020
- 55
- 105
Hivi mwanzilishi wa kesi ya Mbowe ni nani, siyo mwendazake ila ikamwangukia tu mama?Ukigusa maslahi ya 'beberu' lazima ushughulikiwe kikamilifu, na njia mojawapo ni kutumia vyombo vya habari kupiga propaganda chafu. Hebu fikiri kiwango cha shutuma na lawama ambazo zingevuma kwenye vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa alichofanyiwa Mbowe (kuwekwa gerezani) awamu hii, kingefanyika awamu iliyopita.
Nchi fukara kama Tanzania haiwezi kufanya inachotaka. Ikijaribu itawekewa vikwazo na kutengwa. Na vikwazo vikikolea na vikiwagusa wakubwa wa nchi hii, Rais anaweza kupinduliwa. Hata Nyerere walitaka kumpindua hali ya uchumi ilivyozidi kuwa mbaya. Nchi zinazoweza kuongozwa kama Magufuli alivyotaka kuongoza ni nchi kama Iran, Russia, Venezuela ambazo zina utajiri wa mafuta, zina utajiri wa gesi vitu ambavyo vinaweza kupunguza ukali wa vikwazo.Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi
Dada acha kupanic jamaa alikua anaua,hakuwahi kukemea hilo jambo wala kukana...jk hukufanya unyama kwa binadamu hivyo huyu pugi wenu ndio alijiona yeye ni zaidi ya mungu,mlivyo wajinga mkawa mnamtukuza yeye kma mungu bladifaken wahedHalafu huu ujinga mnautoaga wapi???? Yaani mnadanganywa kidogo na propaganda mnasadiki??? Hivi kipindi cha Mama Samia watu hawafi kwa vifo vya ajabu? Hivi serikali ni wajinga waue na kuzika kizembe hivyo??? Ungejua wewe ulitakiwa post nguvu ya serikali usingeshabikia huu ujinga. Dkt Magufuli hakuwa muuaji na hajawahi kuwa muuaji. Alikuwa ni mcha Mungu aliyeamini ktk umoja wa kitaifa. Mungu akulaani wewe unayeamini ujinga huu mpaka na kizazi chako kobe mkubwa
Nadhani suala linalotesa nchi nyingi za Afrika sio rasilimali/uchumi; bali ni ubinafsi na kujilimbikizia mali.Nchi fukara kama Tanzania haiwezi kufanya inachotaka. Ikijaribu itawekewa vikwazo na kutengwa. Na vikwazo vikikolea na vikiwagusa wakubwa wa nchi hii, Rais anaweza kupinduliwa. Hata Nyerere walitaka kumpindua hali ya uchumi ilivyozidi kuwa mbaya. Nchi zinazoweza kuongozwa kama Magufuli alivyotaka kuongoza ni nchi kama Iran, Russia, Venezuela ambazo zina utajiri wa mafuta, zina utajiri wa gesi vitu ambavyo vinaweza kupunguza ukali wa vikwazo.
Tanzania haina utajiri wa gesi na mafuta ukilinganisha na nchi kama Russia, Venezuela, Iran. Madini tunayo lakini madini ni rahisi kuwekewa vikwazo kwa hiyo hatuwezi kukwepa vikwazo. Sekta ya nishati ni vigumu kuiwekea vikwazo kwa sababu bila mafuta, bila ya gesi uchumi wa dunia unaanguka.Nadhani suala linalotesa nchi nyingi za Afrika sio rasilimali/uchumi; bali ni ubinafsi na kujilimbikizia mali.
Nchi ya Tz ina utajiri wote huo uliotaja hapo na pengine hata kuzidi. Mfano madini nk.
Laiti kama viongozi wangekubali kuishi maisha ya kawaida na kuacha/kupunguza matumizi makubwa ya fedha ktk mishahara yao (hasa wanasiasa), posho, magari kifahari, ufisadi nk,
nchi ingepiga hatua kubwa mbele hata pasipo kutegemea sana misaada.
Nchi 'maskini' (japo hii dhana ya 'nchi maskini' huwa sikubaliani nayo) lakini baadhi ya viongozi wake wana maisha ya kifahari pengine kuliko hata wa nchi tajiri. Na kama haitoshi nchi hizohizo maskini ndizo zinazowezesha nchi tajiri kuendelea zaidi kwa kununua bidhaa zao na kuwapa upendeleo ktk uwekezaji!
Ni Sawa, kwa mujibu wa takwimu hatuwezi kupinga.Tanzania haina utajiri wa gesi na mafuta ukilinganisha na nchi kama Russia, Venezuela, Iran. Madini tunayo lakini madini ni rahisi kuwekewa vikwazo kwa hiyo hatuwezi kukwepa vikwazo. Sekta ya nishati ni vigumu kuiwekea vikwazo kwa sababu bila mafuta, bila ya gesi uchumi wa dunia unaanguka.
Katika nchi zenye gesi, Tanzania ni namba 83
Katika nchi zenye mafuta, Tanzania wala haikuorodheshwa
Sisi tunaomba atokee mwingine ili majizi yafe.Kosa lilofanyika 2015 kama Taifa inabidi tumuombe sana Mungu lisije kujirudia tena kwenye Nchi yetu
Ameondoka na wengi sana, huyo ndiye shujaa sasa.Kosa lilofanyika 2015 kama Taifa inabidi tumuombe sana Mungu lisije kujirudia tena kwenye Nchi yetu
Nani kasema hakutubu? Ukatili upi huo unaoongelea? Na nani hao wa kuchapa kaburi lake? Hebu wajaribu hata kurusha mchanga tu wauone moto.Kwa mauaji, utesaji na ukatili anaodaiwa kuufanya Magufuli basi hakuna kizazi kitamsahau au kupita bila kumlaani. Wapo watu ipo siku wataenda kulichapa viboko kaburi lake.
Hivi kama Magufuli alishajua kuwa huenda muda mfupi atakufa, kwanini hakutubu mbele ya watanzania ili watu wasamehe ukatili uliowahi kuufanya?
Mmmh kivipi mkuu Bujibuji? Si tulikubaliana Rais wa hovyo kuwahi kutokea ni Jiwe?Kiikwte ndio rais wa hovyo kabiisa kutokea
Litajirudia soon! Mark the wordNdiyo, niko na weye
JPM hakuwa na maono ya aina yoyote tofauti na ukurupukaji!Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Magufuli alipigania maslahi ya taifa.
Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge)
Alikuwa mzalendo kwa taifa lake.
Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya taifa.
Hakika tutamkumbuka daima kwa misimamo na maono yake bila kujali wangapi wangempinga!
Je, vijana wa leo, tunaweza kusimamia maono tuliyonayo hata kama wengi watatupinga? Au tutaamua kwenda kama dunia inavyotaka hata kama haituongozi kule tunakoelekea?
View attachment 2153375
Inferiority complex!Ukigusa maslahi ya 'beberu' lazima ushughulikiwe kikamilifu, na njia mojawapo ni kutumia vyombo vya habari kupiga propaganda chafu. Hebu fikiri kiwango cha shutuma na lawama ambazo zingevuma kwenye vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa alichofanyiwa Mbowe (kuwekwa gerezani) awamu hii, kingefanyika awamu iliyopita.
Inferiority complex!
Mabaya yaachwe mema yafuatwe that's it !! Bandugu !Uchafuzi na wizi wa chaguzi ndìo hitimisho la huyo "mwamba". Mzee wa sauti moja tu, nyingine fyekelea mbali.
Eti nini ?? !! Usitudanganye bandugu !!Na bahati mbaya ndio anayeendesha nchi kwa sasa.
Jiwe NI mshamba, katili na fashisti kuliko woteMmmh kivipi mkuu Bujibuji? Si tulikubaliana Rais wa hovyo kuwahi kutokea ni Jiwe?