Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.