Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Mkuu una maoni gani kuhusu ripoti ya CAG?domokaya tunawasubiri mbele kule mje na mapambio ya vilio.
si mnajua tech haijawahi kusahau ujinga wa mtu!!!
Mkuu una maoni gani kuhusu ripoti ya CAG?domokaya tunawasubiri mbele kule mje na mapambio ya vilio.
si mnajua tech haijawahi kusahau ujinga wa mtu!!!
Leo hamumwamini sieijii?Hii inaweza kuwa imeongezewa vikorombwezo vingibe ili kukidhi mahitaji ya kisiasa yaliyopo hapa nchini sasa na baadaye. Moja likiwepo la kushindana na marehemu aliyelala kaburini. Siasa ni mchezo mchafu zingatia sana hilo akilini.
Alikuwa ananufaika na huu uchafu wa mwendazakeUmesikia lakini ripoti ya CAG leo?
Acheni ujinga , huwezi kuzuia watu wasiseme halafu ukawa ni msafi.
Sikuwahigi kujua nawewe upo too low namna hii.View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Fatilia kwanza ripot ya CAG kisha uhakiki je uliyoandika yanaakisi uliyosema.View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Issue wala sio Vetting ya Makamu, suala kubwa ni namba Rais anavyofanya kazi na Makamu. Kwa Jiwe labda makamu angekuwa Mfugale angemsikiliza kwa mbaali au Kijazi ambaye anasitisha tumbua tumbua ambayo haikuwa na logic.Nashauri huko mbele vetting ya kupata makamu wa raisi iwe ya nguvu zaidi au iboreshwe zaidi. Tumejifunza mengi mwaka huu.
Kama umekosa uteuzi wewe just PAMBANA NA HALI YAKO TU.View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Wanyonge ni watu gani? Tuanze hapo kwanzaTutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa Walipaji wakubwa ili Wanyonge waanze Kusumbuliwa.
Mwamba kama sio ukuu wa Mungu tungepata mateso mpk tuone dunia rangi rangile, lilijiona lenyewe ndio kila kitu na bila yeye tz isingesonga kumbe ni li jizi na lifuga majizi namba mojaNatamani hadi hicho kivuli kisionekane kabisa,wajinga nyie.
Kifo kimemdhibiti huyu mwizi. Ameiba kila sekta
Magufuli kufa kabisa nisisikie hata hili jina
Aahhh wapi MziziMkavu huwa ninakuheshimu sana. Kwa hapo siungi mkono Mkuu.View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Kwa Marehemu Magufuli WANYONGE WALIKUWA NI WANA CCM, MAKUADI WAKE, NDUGU ZAKE WA CHATO, MWANZA NA BUSHISHI and nothing else!!!Wanyonge ni watu gani? Tuanze hapo kwanza
Pumbavu mkubwa wewe tena wewe ulikua shabiki wa jiweWaimba mapambio wana nguvu sana kipindi hiki wacha waishiwe charge kwanza, wataelewa tu.
Mungu ana makusudi yake.
Leo hamumwamini sieijii?