Nimekuuliza hamumwamini sieijii?Wewe katafute usome lie packages uzielewe. Mimi na jua unajua kinacho endelea. Walengwa ni bumbuazi wa Kitanzania. Lakini JPM alikuwa ni Mwl mzuri kwelikweli. Wako wanaofikiria Tanzania hii ya leo ni ile ya 2015 Oktoba na kurudi nyuma. They make fools out of themselves.
Nimekuuliza hamumwamini sieijii?
Mlikua brainwashed na yule mchawi?
Teh teh teh unajua CAG ni nafasi ya kuaminiwa sana? Yule mchawi alieviligwa kwenye kigozi kule chato aliwaharibu vibaya mnoooNa muamini Bwana Yesu tu sio CAG mwenye historia ya kufurushwa TRA. Anaweza kutumiwa kirahisi sana tu.
Teh teh teh unajua CAG ni nafasi ya kuaminiwa sana? Yule mchawi alieviligwa kwenye kigozi kule chato aliwaharibu vibaya mnooo
Hawa jamaa waache wacheze na akili za watz walioamka, watayakimbia madaraka yao wenyewe wasipojirekebisha, muda ni hakimu mzuri 💪!View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Mataga poleni sana!!kubalini tu, kuwa yameshatokea!!hiyo ripoti ya CAG, yaongezwe ili iweje, kwani ya 2018/2019, nayo si ilikuwa hivyo hivyo akaimaliza kitemi kwa kumtimua CAG?jipya ni lipi, ?Hii inaweza kuwa imeongezewa vikorombwezo vingibe ili kukidhi mahitaji ya kisiasa yaliyopo hapa nchini sasa na baadaye. Moja likiwepo la kushindana na marehemu aliyelala kaburini. Siasa ni mchezo mchafu zingatia sana hilo akilini.
Kwani mwendazake alikuwa na mpango na urais!?ndio maana alishasema kuwa alikuwa anajaribu tu," AKAVUTIWAMO"na matokeo yake tumeyaona, bora hata huyu mama hakuwa na mpango huo lakini anaonyesha dalili njema!!huyo wenu alikuwa na agenda gani ya kueleweka zaidi ya kuifanya nchi isiyo TABIRIKA"kwani hamfuati sheria tena bali ni mawazo yake!!!Vetting uliyoisema kwa makamu wa Rais huwa haipo sirias sana kwa kuwa kwanza
1:- kama alivosema mkuu wa mkoa wa Mbeya,alijua Rais akiwa madarakani hawezi kufa, kwa hiyo wanajua makamu wake atakuwepo kama pambo tu,
2:- katiba nayo imemchukulia makamu mtu poa tu nadhani ni kwa sababu kama hiyo hapo juu ya mkuu wa mkoa
nakumbuka ziara mbalimbali mikoani,watumishi walikuwa wanaogopa akienda waziri mkuu lakini siyo makamu wa Rais
mchakato wa kumpata mgombea urais kwa vyama kama ccm,huwa tunaona unachukua miezi kadhaa,kumpata mtu sahihi aliejiandaa na ameenda na ajenda zake za kuwafanyia watanzania...ila kumpata mgombea mwenza wanaingia wazee wa ccm kwenye kachumba hivi ndani ya dakika 5 wanarudo na jina, sababu kubwa ni kama aliyoisema mkuu wa mkoa wa Mbeya
Hapo ndiyo linapotokea la kutokea mnakuja kupata Rais ambaye wala hakuwa na mpango na huo urais,so anaweza kuwa anadandia ajenda yoyote maana hakuwa na ajenda tangu mwanzo.naunga mkono vetting kali ifanyike
Kwani hiyo ripoti Ni ya kwanza? Halafu huwezi kumlaumu Rais kwa makosa ya watendaji. Kama angekuwepo angewawajibisha, Kama jinsi aliyepo atakavyowawajibisha!!Umesikia lakini ripoti ya CAG leo?
Acheni ujinga , huwezi kuzuia watu wasiseme halafu ukawa ni msafi.
Je wewe utaishia wapi? Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulisemalo! Lulu iliyokuwa inang'aa mataifa mengine yanatushangaa tunavyobeza!! Leo hii Walibya wanamkumbuka na kumlilia Gadafi! Lakini alipouawa walishangilia!!Natamani hadi hicho kivuli kisionekane kabisa,wajinga nyie.
Kifo kimemdhibiti huyu mwizi. Ameiba kila sekta
Magufuli kufa kabisa nisisikie hata hili jina
Tutakukumbuka kwa mema Wala si kwa mabaya Kama ulivyosema! Natamani isiwepo namna ya wewe kuwasikia Wanavyosema uliowaamini, waliokuwa wanakusifu, waliokulilia kumbe yalikuwa ni machozi ya mamba! Wanashindana kukufunua nguo!!Nenda baba tutakukumbuka.
Mkuu umeandika Ninaçhowaza,tutakuja kukumbushana hapahapa after 2 years.View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Ukweli huwa hauna tabia ya kujificha hata ingetumika nguvu kubwa kiasi gani... uongo huwa hauna tabia ya kujificha siku zote...View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Haaahaa jamba kuu ?Mwamba alikuwa mwizi na katili sana