Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Umesikia lakini ripoti ya CAG leo?View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Acha kupanic! Mwacheni mama apige kazi. Majungu hayatawasaidia. Wengi mlikuwa mukimsifia jiwe huku mukitafuna pesa za walipa kodi. Mrija umekatwa, mnarudi kwenye siasa za majitaka. Hamna maana kabisa nyie.View attachment 1746617
Tutegemee kuona haya yafuatayo......
01: Misamaha Ya kodi kwa
Walipaji wakubwa ili
Wanyonge waanze
Kusumbuliwa.
02: Kushuka kwa makusanyo
Ya kodi na kukwama kwa
Maendelo ya Ilani uliyoinadi.
03: Kuzalisha wawekezaji wapya
Watakaokuwa na manufaa
binafsi na viongozi.
Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Falsafa yako Ya hapa Kazi tu
Umezikwa nayo:
Falsafa yako Ya kujitegemea
Kitaifa umekufa nayo:
Falsafa yako Ya kuzunguka kila Pahala kwa kukutana na wananchi umekufa nayo:
Nenda Baba Magufuli Pumzika kwa Amani:
Uliowandaa na Kukuheshimu ndio wanaokubeza na kukuona uliyoyafanya hayafai:
Nenda Baba Magufuli,
Lala Salama lakini umekufa na ndoto za wengi kwa Tanzania uliyotutumikia kwa muda Mfupi.
Kukosekana kwa maiti kwenye virobaView attachment 1746617

Umesikia lakini ripoti ya CAG leo?
Acheni ujinga , huwezi kuzuia watu wasiseme halafu ukawa ni msafi.
Umesikia lakini ripoti ya CAG leo?
Acheni ujinga , huwezi kuzuia watu wasiseme halafu ukawa ni msafi.