Hayati Magufuli baada ya kivuli chako kufichwa ghafla

Hii inaweza kuwa imeongezewa vikorombwezo vingibe ili kukidhi mahitaji ya kisiasa yaliyopo hapa nchini sasa na baadaye. Moja likiwepo la kushindana na marehemu aliyelala kaburini. Siasa ni mchezo mchafu zingatia sana hilo akilini.
Leo hamumwamini sieijii?
 
Sikuwahigi kujua nawewe upo too low namna hii.
 
Kunawatu wanajidai mabigwa wa propaganda!! Safari hii noo! BIG NOO!
Serikali iwajibike!!!
 
Fatilia kwanza ripot ya CAG kisha uhakiki je uliyoandika yanaakisi uliyosema.
 
Nashauri huko mbele vetting ya kupata makamu wa raisi iwe ya nguvu zaidi au iboreshwe zaidi. Tumejifunza mengi mwaka huu.
Issue wala sio Vetting ya Makamu, suala kubwa ni namba Rais anavyofanya kazi na Makamu. Kwa Jiwe labda makamu angekuwa Mfugale angemsikiliza kwa mbaali au Kijazi ambaye anasitisha tumbua tumbua ambayo haikuwa na logic.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mmeina hela uko saiv mnajifanya kumtetea CAG kawaumbua
 
Kama umekosa uteuzi wewe just PAMBANA NA HALI YAKO TU.
Magufuli is no more na hatorudi tena.........hatuongozwi na akili za marehemu Magufuli baali TUNAONGOZWA NA KATIBA NA SHERIA ZA JMT.

Marehemu Magufuli alikiuka Katiba na Sheria mara kadhaa ili afanikishe ndoto zake za Kibabe. Marehemu alikwenda mbali zaidi kwa kukataa kuendelea na mcchakato wa Katiba Mpya akijua kuwa Katiba iliyopo ilikuwa inammpa Jeuri ya kujiona yupo Juu ya Katiba na Sheria which is not!
 
ufisadi sio kuiba pesa za umma tu. hata kutumia vibaya Kodi na rasilimali za umma ni ufisadi, kwa akili ndogo tu unaweza kujenga ikulu nyingine ya bilioni 500 na ushehe huku wanafunzi wanakosa vyoo na madarasa?
 
Natamani hadi hicho kivuli kisionekane kabisa,wajinga nyie.
Kifo kimemdhibiti huyu mwizi. Ameiba kila sekta
Magufuli kufa kabisa nisisikie hata hili jina
Mwamba kama sio ukuu wa Mungu tungepata mateso mpk tuone dunia rangi rangile, lilijiona lenyewe ndio kila kitu na bila yeye tz isingesonga kumbe ni li jizi na lifuga majizi namba moja
 
Aahhh wapi MziziMkavu huwa ninakuheshimu sana. Kwa hapo siungi mkono Mkuu.
Wimbo uliokuwaunapigwa na sound zake na note zake havikuendanana na uhalisia. Kumbe uhuru wa habari ukaminywa ili kufunga watu makofuli wasiseme. Na sheria kandamizi ya mtandao ili mtu akirusha bomu akamatwe na kufunguliwa kesi. Sasa acha azikwe na kila kitu chake na ndani ya 18 days kwisha habari yake
 
Waimba mapambio wana nguvu sana kipindi hiki wacha waishiwe charge kwanza, wataelewa tu.
Mungu ana makusudi yake.
Pumbavu mkubwa wewe tena wewe ulikua shabiki wa jiwe
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo muhuni ww
 
Leo hamumwamini sieijii?

Wewe katafute usome lie packages uzielewe. Mimi na jua unajua kinacho endelea. Walengwa ni bumbuazi wa Kitanzania. Lakini JPM alikuwa ni Mwl mzuri kwelikweli. Wako wanaofikiria Tanzania hii ya leo ni ile ya 2015 Oktoba na kurudi nyuma. They make fools out of themselves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…