Hayati Magufuli baada ya kivuli chako kufichwa ghafla

Nilitamani nisieleweke ulivonielewa,lakini kwa kuwa maoni niliyotoa yanataka kuendana na uhalisia wa sasa,ndiyo sababu ya wewe kunielewa ulivotaka wewe..

kwa hakika niliongelea namna ya kumpata mgombea urais na mgombea mwenza kwa ccm hususani...nikasisitiza kuwa kumpata mgombe urais linachukuliwa kama jambo zito sana (hata kama atakaepatikana haendani na uzito huo uliotumika kumpata), wakati kumpata mgombea mwenza huwa wanachukulia jambo jepesi tu ( wanajifanyisha hawajui kuwa huyo mtu aweza kuwa Rais muda wowote)

kwa maoni haya sijagusia kabisa huyo uliemuita mwendazake na mambo yake,wala mama mh SSH na mambo yake...labda unania ya kunichonganisha tu
 
Ni kweli hakuwa wa kawaida hasa ukiangalia maiti kwenye viroba, Ben Saa Nane, Azory Gwanda, Mawazo, Tuundu Lissu kupigwa risas 34, askofu Jude Thadaeus Ruwa'Ichi kuponea chupuchupu kuuawa, askofu NiweMugizi kuhojiwa urais.


 
Uzalendo pia kafa nao... Uimara wa serikali kafa nao. Actually kafa na TANZANIA njema tuliyoitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…