econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Watu jamii ya Magufuli ndiyo huletea nchi maendeleo. Hawa wakuwa liberal, wakitaka kumridhisha kila mtu huangamiza nchi.
Maendeleo ya kuua watu labda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu jamii ya Magufuli ndiyo huletea nchi maendeleo. Hawa wakuwa liberal, wakitaka kumridhisha kila mtu huangamiza nchi.
Lile shikishwa ukuta limekuja hapa likijifanya mwamba baada ya kuishiwa hoja ndani ya wiki mbili likaamua kutimua kurudi kwa rob amster. Lilidhani labda na huku litapata jamaa wa kulitekenya! Liambieni lizoee maisha ya huko tu linakokaa na kulishwa bure na akina rob amster kwa kwa kubadilishana na kuuza na kudharaulisha utu wake. Bongo atuachie sisi wanaume wa shoka tunaoiweza. Lisu, kiongozi wa mashoga Africa, ulaya na Asia.
Watamzema kwa ubaya ila watashangaa ndio anazidi kung'ara Magu alikuwa Genius
Mkuu kuna watu humu wameajiriwa kwa kazi moja tu, kutukana jina la Magufuli kila litakapoonekana et ili wananchi tusahau sera zake tuungane na sera za wapigaji walioshindwa kuongoza tangu kipindi cha Jakaya.
Magufuli yupo mioyoni mwa wananchi. Na kila mabaya yanavyoongezeka raia wanaugua zaidi mioyoni mwao wakimkumbuka shujaa wao JPM.
Waombe sana 2024-2025 kisitokee chama chenye kunadi sera za Magufuli. Hakika hawa mapacha wawili Ccm na Cdm habari yao ndio itakuwa Mwisho.
GoodKABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA
Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja zinazohusu wananchi badala yake wanapambana na Marehemu.
-
JPM hakuwa wa kwanza kuongoza nchi kwa namna alivyoiongoza. Kasomeni Letter from the Grave inayozungumzia maisha aliyoyakuta Kuan Yew Singapore na alipoiacha alipokufa.
-
Singapore tulikuwa nayo sawa kiuchumi miaka 1965 Leo wanatoa Elimu ya kiwango Cha juu kabisa, wanatoa huduma Bora za afya nk. Hawa walianza na uthubutu na walianza na miundombinu ambayo ndio njia ya kuyafikia hayo maendeleo ya watu. Aliyechangia mabadiliko hayo pale Singapore alikuwa ni Lee Kuan Yew. Mwanzoni hakuelewaka lakini leo ndio wanamuita baba wa Taifa hilo.
-
Wakati haya yakifanyika watu wa Singapore walikuwa wanalalamika kuwa tunanyanyasika nk. Kuan Yew aliwahi kuanzisha Sera ya stop at two yaani usizidishe watoto wawili ili kupunguza unemployment, watu walilalamika, mashirika ya haki za binadamu walilalamika, Media zilipiga kelele lakini alisimamia msimamo huo huo siku moja alipohojiwa kuhusu Hilo alisema “I am often accused of interfering in the private lives of citizensv(1987). Had I not done that, we wouldn’t be here today. And I say without the slightest remorse ... we would not have made economic progress if we had not intervened on very personal matters.” haya yalikuwa majibu yake.
-
JPM anayeshambuliwa na Chadema ifike mahali sasa waache na watafute agenda nyingine ambazo zitagusa wananchi moja kwa Moja. Kwa nn nasema hivyo?….katika kipindi chake JPM…..
1. Watumiaji wa Umeme waliongezeka nchini toka asilimia 35 Hadi asilimia 85. Yaani JPM alipoingia madarakani alikuta Ni asilimia 35 tu ya watanzania wenye Umeme kabla hajafa wanaotumia Umeme majumbani walifikia asilimia 85.
2. Alishusha gharama za kuunganisha umeme toka 177,000 Hadi 27,000. Alipoingia JPM Madarakani alikuta Bei ya Umeme shilingi 177,000 na nguzo ilikuwa Ni shughuli tuliambiwa nguzo zinaagizwa SA kabla hajafa ukiwa na elfu 27,000 unafungiwa umeme.
3.Vijiji vilivyounganishwa na umeme kwa miaka Mitano katika kipindi chake vilikuwa 9,112 toka vijiji 2,018 JPM alivyovikuta 2015.
4. Tulikuwa hatuna Rada na tulitegemea Kenya kutuongozea anga letu. Kwa miaka mitano JPM alitufungia rada nne ambazo zipo viwanja vya ndege vya Daresalam, Mwanza, Songwe na Kilimanjaro.
5. Kwa upande wa usafiri wa Maji zimekarabatiwa meli ya mafuta ya MT. Sangara, hii ipo ziwa Tanganyika, ziwa Victoria zimekarabatiwa meli Tano. MV Victoria, MV Butiama, Mv Claris, Mv Umoja na MV Wimbi.
6. Alituanzishia Elimu Bure
7. Alituanzishia ujenzi wa SGR
8. Alituanzishia ujenzi wa Bwawa la Umeme.
9. Alitununulia ndege
10. Alitujengea hospital na Barabara za kutosha.
Huyu alikuwa mwana CCM alikufa akiwa CCM na ni jukumu la CCM kulinda image yake hata kama hayupo. Kwa CCM tujifunze kitu muhimu sana nilichowahi kuandika kuhusu tofauti kati ua Mentor na Competitor. Niliwahi kusema kuna tofauti kati ya misamiati hiyo miwili. Mentor ni mtu unayepewa au unayemtafuta akusaidie katika kazi wakati unaanza kazi mpya au biashara mpya ambayo hujawahi kuifanya awali.
-
Competitor ni mtu anayejitokeza kushindana na wewe katika field uliyopo, mara nyingi hawa hujitokeza wenyewe na hawatafutwi.Ni kosa kubwa kumchukua au kumfanya mtu ambaye ana skills, Uzoefu na Knowledge kubwa katika eneo la kazi yako au biashara unayofanya na kumfanya Competitor. Huyu unatakiwa umfanye mentor na si Competitor wako.
-
Mark Zuckerberg CEO wa mtandao wa Facebook aliwahi kuhojiwa na Charlie Rose katika kipindi cha American talk Show, akasema nyuma ya mafanikio yake kuna Mentor anayeitwa Steve Jobs. Katika ukuraza wake wa Facebook pia Zuckerber aliwahi kumshukuru Steve Jobs kwa msaada anaompa.
-
Bill Gate huyu mnamjua kutokana na utajiri wake.Aliwahi kufanyiwa mahojiano na CBC Bill Gate hakusita kumtaja mtu anayeitwa Buffet kama mtu anayemfundisha mambo ya kibiashara na namna ya kuendesha kampuni lake. Bill Gate alidai Buffet ni mtu anayemfundisha kuchukua mambo magumu na kuyafanya kuwa marahisi kabisa. Hii ni kutokana na uzoefu aliokuwa nao Buffet katika eneo jipya aliloingia Bill Gate.
-
Richard Branson mwanzilishi wa kampuni la Virgin Group, aliwahi kusema kama ukiwauliza wafanyabiashara wowote waliowahi kufanikiwa wamefanikiwaje hawataacha kuwataja mentors wao. Richard Branson yeye alimtaja Freddie Laker ambaye alikuwa mfanyabiashara wa ndege kama Mentor wake.
-
Hawa ni baadhi tu ya watu waliokiri kuwa Mentors wao wamewafanya kuwa kama walivyo sasa. Ni jambo la kawaida kuwa unaweza Kufanikiwa kuliko Mentor wako lakini Kamwe usimdharau au kumtupa.
-
Tatizo kubwa ni watu kushindwa kutambua nani ni Mentor na ni nani Competitor wako. Kwa CCM lishikeni sana neno hili kwa JPM wakati tunaelekea kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Kwa upande wa Upinzani Haswa Chadema.
Kuna hoja nyingi za kutangaza Sera zenu mkasikika na kupata wafuasi wengi kuliko kushambuliana na Marehemu. Kuna wafanyakazi wanalalamika kuhusu Kikokotoo kuna wanaolalamika bei ya vyakula nk.
Mfano Ili ule Wali nyama Mlo mmoja kwa Familia yenye watu watano itakupasa uwe na Shilingi 10,000
Mchele 1 Kg 3,500
Nyama Nusu KG 5,000
Mafuta ya 1,000
Viungo (Nyanya, Vitunguu, nk) 1,000
Jumla 10,500
Wali maharagwe ili ule gharama itakuwa 10,000 Kinachobadilika hapo ni bei ya maharagwe ambayo 4,500.
Milo miwili mtu angalau kwa familia ya watu watano asubuhi unapaswa kuacha kuanzia 20,000 hadi 25,000. Tena hii familia iishi kwa adabu iachane na mambo ya Chai asubuhi.
Hapa bado Nishati ya kupikia Chakula hicho.
Kwa hesabu za Darasa la Pili kutoa, kujumlisha na kugawanya kwenye familia ya namna hii mkuu wa Kaya anatakiwa awe anafanya kazi inayomlipa kwa mwezi angalau 600,000.
Hapa akijichanganya tu kwenye hiyo laki sita akatoa hapo hela ya Nauli na Kodi tu kuna siku familia haitapata chakula kabisa. Tujiuliza asilimia ngapi za watanzania wenye kipato angalau cha 600,000 kwa mwezi?
Kipindi cha JPM walikuwa wanalamika kuhusu maendeleo ya vitu na watu. Nadhani turudi kwenye hoja zile za Maendeleo ya watu na Vitu.Kwa bahati Mbaya sana Upinzani hauoni Hoja hizi na Bunge ambalo lina wawakilishi wa wananchi pia hawalioni Jambo hili na kushughulika na Shida za wananchi ili Serikali itekeleze.
Km ni hivyo mbona unabagua wakuwachukia?Yeye alipokuwa anaishamblia CHADEMA kwa risasi na hila si mlikuwa mnafurahia?. Leo mbona mnapiga kelele wanafiki. Eti kisiibuke chama chenye kunadi sera za Magufuli, sera zipi?. Za kutekana na kupigana risasi. Mimi Rais yeyeote anaye uwa Raia wake na kuwabagua kwangu namuona Kama kinyesi na hafai na kufa afe.
R.I.P Chuma JPM!! Mkuu unaongeleaje kuhusu maridhianoKABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA

Issue ya JPM kwa sasa ni msamiati mzitoKABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA

Vyuma vilikaza ,Ela ikawa ngumu.Samia anaupiga MwingiKABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA

kwa kweli alifanya makubwa kwa muda mfupi.alikuwa na uthubutu mkubwa kuliko sasa.baada tu ya kufa mambo yamerudi kulekule.miungu watu wamerudi serikalini.kunyanyasana na kutishana kumerudi.uchumi umeparaganyika kwa kasi kubwa.mashule na mahospitali yamejengwa lkn hayana watumishi.matibabu yamezorota.kwa kweli kuna mengi yameharibika baada ya kufa JPM.huu ni ukweli kabisa na hakuna unafiki.kama kulikuwa na mapungufu ni ya kawaida kwa binadamu ambayo hata sasa yapo.KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA

Mbona nyir hamridhiki kama anataka kumridhisha kila mtu?Watu jamii ya Magufuli ndiyo huletea nchi maendeleo. Hawa wakuwa liberal, wakitaka kumridhisha kila mtu huangamiza nchi.
Mtoto wa malaya mbwa unahasira sana na mh.J.P.M eeLile Hutu bado chawa wake(Sukuma gang) wanagangaika kulisafisha? Lile uaji halisafishiki especially hiyo mifano inayoji-contradict(Singapore walipewa kukomo cha kuzaa wawili hivi Jibwa lile msimamo wake ulikuwaje kwenye hilo?) Kuwa na wivu kwa entrepreneurs kwa kuwapora mali na fedha huku akiua private sector kwa ujumla wake ndiyo ilikuwa njia yake ya kukuza uchumi? Au kuhakikisha tenders zote za constructions zinakwenda kwenye kampuni yake(Mayanga constructions) ndiyo ulikuwa uzalendo/Uchato/Umagufuli?
Lile jibwa lilikuwa jizi na kifo chake imekuwa neema kwa taifa.
Mifupa yake ndiyo inazidi kung'aa huko kaburini?Watamzema kwa ubaya ila watashangaa ndio anazidi kung'ara Magu alikuwa Genius
Platinum member unaandikaje ujinga kama huu ?, Unajitofautishaje na new members chipukizi Sasa?Lile shikishwa ukuta limekuja hapa likijifanya mwamba baada ya kuishiwa hoja ndani ya wiki mbili likaamua kutimua kurudi kwa rob amster. Lilidhani labda na huku litapata jamaa wa kulitekenya! Liambieni lizoee maisha ya huko tu linakokaa na kulishwa bure na akina rob amster kwa kwa kubadilishana na kuuza na kudharaulisha utu wake. Bongo atuachie sisi wanaume wa shoka tunaoiweza. Lisu, kiongozi wa mashoga Africa, ulaya na Asia.
Shujaa wenu bhanaApumzike kwa amani ,ni shujaa ambae kafanyia makubwa hili taifa kwa muda mfupi but kila siku anapewa Tuhuma zisizo na ushahidi .