Hayati Magufuli baba wa uchumi wa Taifa la Tanzania, kaburi lake linawatisha wabaya wake na wametishika


Kuna kitu hakiko sawa juu yako. Unahitaji ushauri nasaha.
 

Yeye alipokuwa anaishamblia CHADEMA kwa risasi na hila si mlikuwa mnafurahia?. Leo mbona mnapiga kelele wanafiki. Eti kisiibuke chama chenye kunadi sera za Magufuli, sera zipi?. Za kutekana na kupigana risasi. Mimi Rais yeyeote anaye uwa Raia wake na kuwabagua kwangu namuona Kama kinyesi na hafai na kufa afe.
 
Good
 
Km ni hivyo mbona unabagua wakuwachukia?
Mwangosi alipigwa bomu utawala wa Magufuli?
Ulimboka alitekwa utawala wa Magufuli?
Mabomu orasiti Arusha ni utawala wa Magufuli?
Unafki haujawahi kumuacha mtu salama!
 
R.I.P Chuma JPM!! Mkuu unaongeleaje kuhusu maridhiano
 
Death to dictator!
Death to magufuli
Death to udini
Death to ukabila
Death to satanic blanded minds
 
kama ni uchumi yule aliua uchumi!
kama ni uhuni pale ilikuwa ni uhuni mtupu!
Jina la Bwana lihimidiwe milele na milele Amen.
 
Issue ya JPM kwa sasa ni msamiati mzito
Wapo wanaochagua kumuelewa na kusifia mazuri yake
Wapo wanaochagua kutomuelewa na kumsema vibaya kwa madhaifu yake alipokosea. Kila upande una hoja zake
Jambo la msingi tukubaliane katika kutokukubaliana kwetu maana kuendelea na ajenda hii ni kupalilia chuki zisizo za msingi kati yetu.
JPM ameshatangulia mbele za haki,tumseme ama tusimseme maisha yake ameshayamaliza hapa Duniani tuendelee kusonga mbele
 
A
Vyuma vilikaza ,Ela ikawa ngumu.Samia anaupiga Mwingi
 
Kaburini kilichopo ni mifupa tu, sasa nini cha kuogopa hapo.

Sema ile roho yake inawezekana bado wapo walioivaa ambao nao hawana future.
 
kwa kweli alifanya makubwa kwa muda mfupi.alikuwa na uthubutu mkubwa kuliko sasa.baada tu ya kufa mambo yamerudi kulekule.miungu watu wamerudi serikalini.kunyanyasana na kutishana kumerudi.uchumi umeparaganyika kwa kasi kubwa.mashule na mahospitali yamejengwa lkn hayana watumishi.matibabu yamezorota.kwa kweli kuna mengi yameharibika baada ya kufa JPM.huu ni ukweli kabisa na hakuna unafiki.kama kulikuwa na mapungufu ni ya kawaida kwa binadamu ambayo hata sasa yapo.
 
Mtoto wa malaya mbwa unahasira sana na mh.J.P.M ee
 
Platinum member unaandikaje ujinga kama huu ?, Unajitofautishaje na new members chipukizi Sasa?

Kwa ukongwe wako ulipaswa kuwa kisima cha fikra na hoja nzito.

kweli hata wajinga huzeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…