Hayati Magufuli baba wa uchumi wa Taifa la Tanzania, kaburi lake linawatisha wabaya wake na wametishika

Km ni hivyo mbona unabagua wakuwachukia?
Mwangosi alipigwa bomu utawala wa Magufuli?
Ulimboka alitekwa utawala wa Magufuli?
Mabomu orasiti Arusha ni utawala wa Magufuli?
Unafki haujawahi kumuacha mtu salama!
Yote ni CCM ila regime ya Jiwe Mwendakuzimu ilikuwa ya kikatili zaidi na ilifanya ukatili zaidi, kuwa na kikosi special cha wasiojulikana, kuuawa, kupotezwa na kujeruhiwa kwa wanasiasa prominent wa opposition hilo halijawahi kufanyika tangu multiparty system ilipoanza. Ukatili wa Mwendawazimu ulikuwa ni wa waziwazi japo wote ni wauaji tu walewale.
 
Mpelekee mke wako hizi data za kughushi mfurahi
 
Hii chuki alii-engineer mwenyewe Jiwe, aliipanda na akaipalilia hiyo haya matokeo yake yasikushangaze. Kwanini viongozi wengine hawashambuliwi kama yeye? Pamoja na kwamba hata wao walikuwa ni makatili(kila mmoja kwa kiwango chake) lakini hakuna aliyepanda mbegu ya kuchukiana hata kufikia kiwango cha watu kufurahia mateso na vifo vya watu wenye mitazamo tofauti ya kisiasa. Amini usiamini kifo cha Jiwe ndiyo kimeirudisha nchi katika ustaarabu wa Utanzania kwamba watu hata kama mna itikadi tofauti lakini urafiki na kupendana vinakuwepo, kuna mazuzu wasiokuwa na akili walikuwa brainwashed kwamba mtu mwenye mawazo mbadala si mzalendo, ni adui wa 'wanyonge' na hata akiuawa na wale henchmen/killers (wasiojulikana) ni sawa tu na walilifurahia hilo. Just imagine TZ ilifikia huko na hata hii healing process inapunguzwa speed nao kwani ile sumu imewakolea na hawataki kabisa watu kuishi kwa kupatana(wahafidhina/Sukuma gang).
 
Nchi inajengwa na wazalendo na kutafunwa na mafisadi.
 
Umeandika vizuri. Endelea kupumzika mzalendo, mwanamapinduzi, uliejitoa maisha yako kwa ajili ya watanzania
 
Reactions: nao
Kuhisi nina ushabiki na politician au political party yoyote unachemsha, jinsi msivyo na akili Sukuma gang mnadhani kila aliyeteswa, aliyeporwa au aliyedhulumiwa mali na pesa wakati wa utawala wa yule hasidi wa Kihutu ni member au supporter wa vyama vya upinzani.
Hebu tumwagie hizo data za Amsterdam basi siyo kuja story nusu nusu kama unaandika huku unakunya kwenye choo cha kuchuchumaa.
 
Wewe ni chizi, shujaa wenu kafa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sikujua kumbe watu wajinga sana kama wewe, yule mwenye laana kumbe ana wafuasi pia
 
Km ni hivyo mbona unabagua wakuwachukia?
Mwangosi alipigwa bomu utawala wa Magufuli?
Ulimboka alitekwa utawala wa Magufuli?
Mabomu orasiti Arusha ni utawala wa Magufuli?
Unafki haujawahi kumuacha mtu salama!
Whatever bora yule Ibilisi kafa
 
Wewe ni chizi, shujaa wenu kafa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sikujua kumbe watu wajinga sana kama wewe, yule mwenye laana kumbe ana wafuasi pia
Hongera wewe mwenye heri!
 
Yeyote anayemsema vibaya JPM huwa namchukulia kama ZUZU fulani hivi.
JPM alikuwa mwanamapinduzi wa kweli, Mzalendo kweli kweli na Mwana Afrika kweli kweli.
 
Reactions: nao
Usidanganye watu, Magufuli yuko kwenye mioyo ya watanzania wajinga kama wewe tu.

Hawezi akawa ndani ya moyo wa mtu anayejitambua
 
Hebu tumwagie hizo data za Amsterdam basi siyo kuja story nusu nusu kama unaandika huku unakunya kwenye choo cha kuchuchumaa.
Unataka kwenda kushindana na lisu? Muulize yeye lisu atakusimulia vizuri. Mimi siyo mtu wa mwisenge.
 
Platinum member unaandikaje ujinga kama huu ?, Unajitofautishaje na new members chipukizi Sasa?

Kwa ukongwe wako ulipaswa kuwa kisima cha fikra na hoja nzito.

kweli hata wajinga huzeeka.
Nilikuwa najibu ujinga wa mtu mmoja.
Noted โœ…๏ธ
 
Labda baba wa Taifa la chatto, Yaani mtu aliyeshusha uchumi mpk kuwa 4.5% kutoka 6.5 awe Baba wa uchumi??? Aisee nyie mnapenda Sana kuona mpendwa wenu akinangwa , magufuri alifeli karibia kwa kila kitu... Labda kama atakuwa Baba wa Taifa la chatto [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ