Hayati Magufuli baba wa uchumi wa Taifa la Tanzania, kaburi lake linawatisha wabaya wake na wametishika

Wapi nimesema mimi nina heri? Hata mimi nina madhaifu yangu lakini siyo muongo na muuaji kama huyo shujaa wenu
Wewe ni mwenye heri.
Sio muongo wala muuwaji hii inatosha kuitwa mwenye heri.
 
Kwani hujui kuwa hakuna atakayedumu milele, kikubwa ni Mungu kamuua yule Ibilisi mdogo. Kufa kila mtu atakufa
Kumbe ndg na jamaa zako wote waliokufa ni kwasababu walikuwa ma ibilisi wadogo?.
Jiepushe kuwa ibilisi mdogo ili usife.
Na mzee wako alisikika akisema " wema hawafi'
Jitahidini kuendelea kudumu ktk wema ili msife km ibilisi mdogo.
 
11-watanzania walikutwa kwenye viroba kwenye fukwe za bahari na mito
12-watanzania walitekwa na kupelekea kusikojulika eg MO wa makolo,Roma mkatoriki,Ben saa8,Azory gwanda nk
13-ukiamka asubuhi unakuta akaunti yako benki 0
14-aliminya uhuru wa nyombo vya habari ambavyo vilimkosoa na kuvifungia.
14-ubaguzi wa kabila alipendelea kabila lake.
 
Apumzike kwa amani ,ni shujaa ambae kafanyia makubwa hili taifa kwa muda mfupi but kila siku anapewa Tuhuma zisizo na ushahidi .
Sasa hivi anakula mijeredi kwa mateso aliyompa Ben Saaa 8 na Kangoye.
 
Kumbe ndg na jamaa zako wote waliokufa ni kwasababu walikuwa ma ibilisi wadogo?.
Jiepushe kuwa ibilisi mdogo ili usife.
Na mzee wako alisikika akisema " wema hawafi'
Jitahidini kuendelea kudumu ktk wema ili msife km ibilisi mdogo.
Kauli ya wema hawafi siyo hoja yangu, mimi, wewe na wenginie tutakufa lakini siyo kifo kama cha yule nduli Ibilisi
 
Yeyote anayemsema vibaya JPM huwa namchukulia kama ZUZU fulani hivi.
JPM alikuwa mwanamapinduzi wa kweli, Mzalendo kweli kweli na Mwana Afrika kweli kweli.
Hakika kabisa
 
Watamponda JPM weeee, lakini hawataweza. Mpaka sasa wameshindwa totally.
 

Mimi nikifika Chato lazima nikakate gogo hapo kaburini
 
Sawa huu hapa ndio uchumi wa baba yenu Magufuli 🤣🤣
 
Death to dictator!
Death to magufuli
Death to udini
Death to ukabila
Death to satanic blanded minds
Wajinga tu ndo wanauwezo wa kusema unachosema wewe Kwa Sababu hata kuuawa watu waliuawa Sana hata enzi za kikwete,ufisadi ukishamiri Sana enzi za kikwete.Alafu unazungumzia udini na ukabila mbona Magufuli alijenga kila sehemu ya nchi.ebu kuweni na Akili.utaendelea kuonekana mjinga humu Kwa kuongelea vitu ambavyo havina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…