Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo.
Magufuli akatuonesha wazi wazi kuwa nchi hii inachezewa kwa yeye kwenda kujijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake akitumia mabilioni ya pesa huku walala hoi wakizidi kusota na umaskiini.
Akaendelea kuichezea zaidi kwa kumuweka mpwa wake awe katibu Mkuu Hazina ili wawe wanajichotea pesa wapendavyo na kununua watakacho jadili kifamilia kiwe cha taifa hili.
Akapora pesa za mama lishe na machinga kwa kuwapa vitambulisho feki ambacho hakina lisiti wala jina na pesa kulala nazo mbeleee. Akatembea na mapesa ya walala hoi ktk mabegi na kuyatapanya majiani kama njugu.
Walio mpinga wakabatizwa kuwa wanatumiwa na mabeberu akatesa na kufunga wapinzani mchana na usiku.Wengine wakapotezwa vilio na machozi ya uonevu vikasika kila kona. Mungu akasikia toka juu na akashuka kuwakomboa watu wake.
Hakika nchi hii ilichezewa na inachewa sana.Bila katiba mpya tutaendelea kuchezewa sana.