Hayati Magufuli hapa alisema ukweli, tatizo sisi ni wajinga

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,695
Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo.

Magufuli akatuonesha wazi wazi kuwa nchi hii inachezewa kwa yeye kwenda kujijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake akitumia mabilioni ya pesa huku walala hoi wakizidi kusota na umaskiini.

Akaendelea kuichezea zaidi kwa kumuweka mpwa wake awe katibu Mkuu Hazina ili wawe wanajichotea pesa wapendavyo na kununua watakacho jadili kifamilia kiwe cha taifa hili.

Akapora pesa za mama lishe na machinga kwa kuwapa vitambulisho feki ambacho hakina lisiti wala jina na pesa kulala nazo mbeleee. Akatembea na mapesa ya walala hoi ktk mabegi na kuyatapanya majiani kama njugu.

Walio mpinga wakabatizwa kuwa wanatumiwa na mabeberu akatesa na kufunga wapinzani mchana na usiku.Wengine wakapotezwa vilio na machozi ya uonevu vikasika kila kona. Mungu akasikia toka juu na akashuka kuwakomboa watu wake.

Hakika nchi hii ilichezewa na inachewa sana.Bila katiba mpya tutaendelea kuchezewa sana.
 
Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo...
Kwa tarifa yako, na siwafichi wote wenye mawazo kama yako, kusema eti nchi hii ipo hivi kwa sababu ya katiba mbovu, ujinga kama ujinga maingine

Nakuukizeni, Ni nani anahusika kuhakikisha katiba inaheshimiwa??

Je, isipoheshimiwa, ni nani atatakiwa kuwajibika ili katiba iheshimiwe?

Kama Ilivunjwa, na hakuna aliyewajibika, Wala hakuna aliyejitokeza kuonesha nia ya kuwawajibisha waliookuwa wavunjaji wa katiba, Unadhani tukiwa na hiyo mpya itakapovunjwa, Nani atasimama kuitetea kwa jasho na damu?
 
Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo....

Kwa mfano kwenye Katiba tuweke kipengele gani kitakacho mzuia mtu Kama JPM asifanye yake?

Au tunakariri tu Katiba Mpya
 
Kwa tarifa yako, na siwafichi wote wenye mawazo kama yako, kusema eti nchi hii ipo hivi kwa sababu ya katiba mbovu, ujinga kama ujinga maingine

Nakuukizeni, Ni nani anahusika kuhakikisha katiba inaheshimiwa??

Je, isipoheshimiwa, ni nani atatakiwa kuwajibika ili katiba iheshimiwe?

Kama Ilivunjwa, na hakuna aliyewajibika, Wala hakuna aliyejitokeza kuonesha nia ya kuwawajibisha waliookuwa wavunjaji wa katiba, Unadhani tukiwa na hiyo mpya itakapovunjwa, Nani atasimama kuitetea kwa jasho na damu?
Kwa mfano kwenye Katiba tuweke kipengele gani kitakacho mzuia mtu Kama JPM asifanye yake?

Au tunakariri tu Katiba Mpya
Kama hujui kitu ni afadhari kukaa keep mya wengine wenye mawazo wayatoe kuliko kuonesha ujinga wako wote. Ndio maana wenzio wanaiogopa hiyo katiba mpya
 
Kwa tarifa yako, na siwafichi wote wenye mawazo kama yako, kusema eti nchi hii ipo hivi kwa sababu ya katiba mbovu, ujinga kama ujinga maingine

Nakuukizeni, Ni nani anahusika kuhakikisha katiba inaheshimiwa?

Je, isipoheshimiwa, ni nani atatakiwa kuwajibika ili katiba iheshimiwe?

Kama Ilivunjwa, na hakuna aliyewajibika, Wala hakuna aliyejitokeza kuonesha nia ya kuwawajibisha waliookuwa wavunjaji wa katiba, Unadhani tukiwa na hiyo mpya itakapovunjwa, Nani atasimama kuitetea kwa jasho na damu?
Tatizo ni kuwa Katiba hii imempa madaraka yanayokaribia madaraka ya Mungu Rais aliyeko madarakani, ndiyo maana waliojaribu kupiga kelele jiwe alipovunja Katiba waliishia pabaya, walipotezwa, walitekwa na kuteswa, walibambikiwa kesi na wengine waliishia kubaki vilema kwa kupigwa risasi mchana kweupe.

Katiba iliyopendekezwa naTume ya Jaji Warioba ilijaribu kupunguza madaraka hayo na kuweka vipengele vya kuweza kumdhibiti Rais pindi anapokengeuka. Hii ya sasa hata Samia huyu akitaka anaweza kuwa muovu mara kumi ya huyu mwendazake, ukileta fyoko unauliwa tu.
 
Kwa tarifa yako, na siwafichi wote wenye mawazo kama yako, kusema eti nchi hii ipo hivi kwa sababu ya katiba mbovu, ujinga kama ujinga maingine

Nakuukizeni, Ni nani anahusika kuhakikisha katiba inaheshimiwa??

Je, isipoheshimiwa, ni nani atatakiwa kuwajibika ili katiba iheshimiwe?

Kama Ilivunjwa, na hakuna aliyewajibika, Wala hakuna aliyejitokeza kuonesha nia ya kuwawajibisha waliookuwa wavunjaji wa katiba, Unadhani tukiwa na hiyo mpya itakapovunjwa, Nani atasimama kuitetea kwa jasho na damu?
Umefunga mjadala.
Suala muhimu ni sisi kuamka kupigania katiba kufuatwa...tuache undezi sio??
 
Back
Top Bottom