Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

Yule alikuwa mrundi, Kanda ya ziwa hakuna wezi.
 
Awamu hii inaficha uoza wake Yuma ya kivuli cha Magufuli.

Mpaka ripoti za 2028 utasikia stori za Magufuli.

I know you're getting paid my advice is just spend it well.
 
Awamu hii inaficha uoza wake Yuma ya kivuli cha Magufuli.

Mpaka ripoti za 2028 utasikia stori za Magufuli.

I know you're getting paid my advice is just spend it well.
2025 tunafumua mambo ya Hela za china, Hela alizoficha Misri katika mradi wa bwawa la nyerere, kampuni inalipwa hapa inapeleka Hela Misri, Kisha wanajifanya kuja kama wawekezaji.

Mama alienda Misri kwa ajili ya Hilo kama moja ya ajenda
 
Kadanganye wenzako kwenye kijiwe chenu cha gahawa.
 
Hii hali ya Kikanda na Ukabila Mnayo Ichochea Haita wafaidisha Bali itakuja Kuwatokea Puani nahata Kujutia
Pengine nyie au vizazi vyenu.
Na Hii hali ya kila Jambo Baya likitokea Kivuli chenu cha kujifichia ni Marehemu Haita wasaidia
Kufa kila mwanadamu Atakufa Wengine mnaleta Kejeli kwa Kifo chamtu Niakili zakipumbavu na Ujuha!
 
2025 tunafumua mambo ya Hela za china, Hela alizoficha Misri katika mradi wa bwawa la nyerere, kampuni inalipwa hapa inapeleka Hela Misri, Kisha wanajifanya kuja kama wawekezaji.

Mama alienda Misri kwa ajili ya Hilo kama moja ya ajenda
Mlikuwa Naye Mpishi Utashindwa Kujua kama Alienda kwahilo!!
 
Hawa hapa washirika wa Magufuli kwa majina:
1. BISWALO MGANGA
2. WANKYO SIMON
3.ABDALLAH CHAVULA
4. RENATUS MKUPA
5. PAUL KADUSHI
6.MARTENUS MARANDU

Hawa jamaa walikamua sana fedha za watuhumiwa wa plea bargain
 
Umbwa wewe sukumagang mshenzi kabisa! Wacha kutishia watu Nyau, Lile Lucifer Magufuli lilikuwa lazima life kifo kibaya zaidi ya hicho kibudu lilivyodanja!
Huwezi kutenda maovu ya kiwango kile ukabaki sala hata kidogo, kwanza Mungu hapendi na pili tarehe ilikuwa inasogea lingezuia kitu Cha moto kichwani kama sio kifuani umbwa Lile, lirundi lihamiaji haramu!
Utaendeshaje nchi kama duka la baba yako, ukatili wa kupindukia, wizi, unyanganyi, mauaji na uporaji wa Mali halali za watu!

Leo hii utwambie tusiliseme kwa Nini, si liliandika kitabu chake Cha maovu kwa hiyari yake lenyewe limbukeni Lile linazunguka mabarabarani na masanduku ya pesa likigawa pesa!

Tutalisema na huna la kufanya nipo hapa Nakapanya njoo unikabili kama ni mwanaume lijali bwabwa wewe! Msengerema mchafu! Unaliwa Kiboga!
 
Duuuuu!!!!
 
Hii inanikumbusha jamaa mwenye darubini ambaye angeweza kuwataarifu wenzake kuhusu majanga yanayokuja hapo mbele na maharamia waliopo sasa wanavyopora na kudokoa mali ya wenzake alikuwa anaangalia nyuma jinsi maharamia walivyopora na majanga waliyoyaacha....., wakati huo huo uporatji unaendelea hata pale aliposimama... Nadhani hawa maharamia wa sasa atawaangalia na kukumbushia siku majanga yakishapita... .

Jamaa huyo hakuwa na busara ya kuangalia ya sasa na kuyakwepa / kuyazuia / kutaarifu wenzake hata kama ni kuangalia nyuma iwe by the way (na kukumbushia)...

Thinking about it ilikuwa giza na sikumuangalia vizuri huyo jamaa huenda maharamia wa sasa ni kundi lake na anafaidika na uporaji..... Sababu sidhani kama ni kipofu kiasi hiki
 
Kwhiyo ukweli ukisemwa unapata uchungu wa mimba changa?.
 
Baelezee papaa, team Jiwe ilikuwa ni kikosi Cha shetani
 
Kama lilikuwa jitu la hovyo, lazima tuseme
 
Hawa hapa washirika wa Magufuli kwa majina:
1. BISWALO MGANGA
2. WANKYO SIMON
3.ABDALLAH CHAVULA
4. RENATUS MKUPA
5. PAUL KADUSHI
6.MARTENUS MARANDU

Hawa jamaa walikamua sana fedha za watuhumiwa wa plea bargain
Mwingine anaitwa Faraja Nchimbi, kwa Sasa ni bilionea kuliko mtu anayefata mzigo China au Uingereza, nyumba kaficha kwa majina ya ndugu zake
 
Siku ukijua ukweli juu ya JPM itajilaumu maisha yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…