Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

m
Kazikwe naye
Hata nyie wezii mtazikwa tu na pesa na mali mtaziacha hapa watu watagawana mirathi kunywea bia na kuhongea wanawake nyie mkiwa kuzimu na shetani mkipiga soga motoni.
 
Hata nyie wezii mtazikwa tu na pesa na mali mtaziacha hapa watu watagawana mirathi kunywea bia na kuhongea wanawake nyie mkiwa kuzimu na shetani mkipiga soga motoni.
JPM alikuwa anakusanya mapesa eti akitoka madarakani akazile, Mungu akapiga chini. Mamia ya maelfu ya mamilioni ya dola yakakamatwa na kutaifishwa. Mfugale alikuwa na matrilioni, akaulizwa ya nani, akasema Jiwe alikuwa anampa amtunzie, akapigwa Pini akaunti zake, akafa
 

Awamu ya tano yote walihusika

Mama Samia aliwahi kusema kuwa, Jambo ambalo serikali imefanya kama ni zuri au Baya then lawama ni za watu wote


Ambao by then walikuwa kwenye serikali
 
Anguko lenu halipo mbali sana.

Fedha zenu zitataifishwa huku watoto wenu wakibakia maskini na hawataruhusiwa kugombea nafasi yeyote ile katika nchi hii.

Siku inakuja na sio mbali.

Ibeni ila jueni kuwa kila jambo Lina mwisho wake.

Na wenu pia unakuja.

Jiandaeni.
 
Mleta mada una mavi kichwani!
.
Haya hizo bilioni 8 anazo Biswalo

Haya twambie hizi anazo nani?
 
kuna ukweli wowote kwamba Mzee wakati anafanya hili zoezi alimuita Yusuuufu kwa sauti kama ya upepo wa kisulisuli?
 
Nyie ni vichaa Kwa Sababu mnataka kuficha maovu ya sasa hivi Kwenye kichaka cha magufuli.kwa Akili zenu hizi tutaendelea kuibiwa Sana kila mwaka.
 
"..kwanini uhangaike na marehemu wakati hata huyu aliyepo bado anamuona Biswalo anafaa, punguza ujinga kichwani.
Kuteuliwa kuwa jaji Biswalo ilikuwa ndio njia nyepesi ya kumuondoa u DPP kwani cheo hicho kina kinga na mchakato wa kumfukuza ni mrefu.
Sio kwamba alionekana anafaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…