Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

Hahaha
 
Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Wafuasi wake siku hizi ndio walalamikaji namba moja.
 
Many more to come, many more to suffer, many more will die, don't ask me Why.
 
Hata Adolph Hitler bado atakumbukwa Kwa ubaya wake Ujerumani hadi leo
 
Jiwe mpuuzi sana, alipenda kuzunguka na wakuu wa vyombo vya dola kila sehemu
 
Yule mzee kaweka hovyo mihimili mikubwa,Bunge limejaa vichaa wasiojitambua ndio hao tunategemea wakatutetee,vyombo vya ulinzi na mama yenu kamaliza kwa kujimilikisha usalama iwe ofisi ya raisi.ukizingua ni shingo shwaaaa ,hii nchi imekuwa ngumu sana
 
Acha tuendelee kulewa tu tusubiri kutwaliwa na mora wetu,maana mapambano huwezi fanya na watu wasiojielewa,nguvu kazi ambayo ni vijana wamejigawa njaa imehamia kichwani+ujinga🚮🚮
 

Tunakula matapishi na ujinga wa demokrasia fake ambayo huyu Hayati wetu alituletea sijui kama alijua itakuwa hivi. Jamani tukipewa madaraka tuangalie vizazi vijavyo
 
Hata hizi habari za kumtetemekea na kujikomba komba kwa Rais zilianza kipindi cha Magufuli. Naona bibi kizimkazi naye anapita mulemule,sifa zote anataka apewe yeye ila lawama aaahhh.
 
Mizimu yake bado ipo🤦🏾‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…