Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Nijuavyo mimi Tanzania itakuja kutokea tukio baya kuliko Gzee ya kenya. Ogopa watu waliokaa kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoa hoja yenye uhalisia kabisa, japo wasiowaza wanaweza kupata shida kukuelewa. Mara nyingi namna ya kutawala ni usimikaji unaoenda kudumu kwa miaka kadhaa.Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi
Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana.
Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Inawezekana una tatizo binafsi na hayati JPM sio bure.Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi
Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana.
Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Niseme tu HUNA AKILISijasema wamerudishwa nimesema kaacha maana yake wapo kama alivyo waacha na kaacha mfano mbaya sana na unatuletea matatizo zaidi hata yaliyo kuwepo
Muache Jiwe apumzike kwa amani. Pambana na hao mlio nao kwa sasa. Siyo sikila kitu umtwishe Magu. Yeye hajawachagulia huyo miliye naye na wala hiyo Katiba hakuitunga yeye. Lawama kama zinapaswa kubebwa basi ni kwa Watanzania wote kwa kuruhusu kuendelea kuwa na Katiba hiyo mbovu ambayo inawapa mamlaka na nguvu za kuptiliza kwa hao viongozi wabayaHawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi
Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana.
Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Kabisa !Unaacha kupambana na current situation una pambana na marehemu.
Kichaa tu ndio anaweza kuhangaika na marehemu!.
Bora mama ake angefanya kazi ya blow hilo bao lililomleta dunianiBaba Yako Bora angetumia condom akatupunguzia vichaa.
Mpaka hapo Chadema na wafuasi wake, hatakuja kusamehewa na kuelweka kwa Watanzania , mpaka hapo watakapokuwa wameacha kuelekeza lawama za matatizo yao yote kwa hayati JPM. Kiukweli ni kwamba the more they direct everything evel to JPM, the more they become less appealing to the citizens. Huu mzumu wa JPM utaendelea kuwasumbua na kuteka mawazo yao yote to the extent ya kupoteze focus to the current issues and challenges of today that they are expected to address.Gen Z Kenya waliingia mtaani pamoja na mikwara ya askari, na baadhi yao waliuawa na wengine kwa mamia kukamatwa.
Lawama kwa Magufuli kwa uovu mnaofanyiwa leo wakati Magufuli hayupo ni mkakati usioweza kuwasaidia.
Magufuli hayupo we Mbweha! Juzi kati hapa si mlisema nchi imeponywa!? Na si iliponywa na watu wazima kabisa?
Sasa Leo Magufuli anaingiaje hapo?
Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Magufuli mlimbebesha wa kwako na huyu abebe wa kwake!!
Hiyo ndiyo njia pekee kulikomboa taifa.Sio chama, wananchi, vijana wenye uchungu na Taifa wanaweza kufanya hivyo. Kenya, Sri Lanka, Bangladeshi ni mifano. wamefanya hivyo. Baadaye wanaanzisha chama. Mwanzo itakuwa coalition ya wazalendo wote.
Tokea bashite karudishwa na hapi tunashuhudia utekaji na mauaji ya raia wa upand e wa piliUnategemea nini kama Bashite,Musiba,Sabaya,Ali Hapi wote wamerudi...Hao jamaa wamefanya umafia sana kipindi cha JIWE kwa kujilimbikizia mali kwa mgongo wa KIKOSI KAZI -TASK FORCE.
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi
Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana.
Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Nakukubali Sana GENTAMYCINE Kwa kuwa Mkweli Siku Zote, Yaani Wewe kwenye Ukweli Umenyooka AiseeeHana Akili period.
Hao jamaa ni Ma-MAFIA sana.Tokea bashite karudishwa na hapi tunashuhudia utekaji na mauaji ya raia wa upand e wa pili
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi
Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana.
Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Inaonekana hujui mambo mengi sana bwana mdogo. Sheria ya TRA ya kufunga akaunti ya Benki ya mteja anayedaiwa kodi ipo miaka mingi sana kabla ya JPM hajawa Rais, pia simu kusikilizwa haijaanzishwa na JPM ipo miaka mingi tangu mawasiliano yaanzishwe duniani ila wewe uelewa wako ni mdogo tu ndio maana unasema hivyo. Kusikilizwa maongezi search Snowden wa USA kwenye Google utajua hata mabeberu ya USA yanafanya sana tu. Hata kwenye mitandao unaangaliwa kila wakati usifikiri uko free kiasi hicho pia kasome kanuni za ITU utajua jinsi Dola inavyoweza ingilia mawasiliano yako. Unafikiri Interceptor zilitengenezwa kwa ajili gani? Endelea kulala usingizi wa pono mkuu.Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi
Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana.
Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Ukweli mtupu. Nani kaanzisha huu utaratibu wa kuengua wapinzani??Nakuuliza tena kwa mara ya pili, huna hata aibu?