Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

Magufuli alichukiwa bure tu kwa maana alipingwa ndani ya chama na nje ya chama na kumfanyia kila aina ya vituko ili aonekane mbaya!
Sasa hayupo wanafiki hawa hawataki kuamini mambo hayaendi pamoja na kushangilia msiba wa JPM
Jikite kwenye hoja,aliyeasisi uovu ni nani?
 
Anayeongoza sasa na haya mambo yanaendelea huku akiwaita Watanzania ni Makhulutabu na kuwafananisha na Samaki ni Hayati Magufuli?

Acheni kutulazimisha tuanze Kuwadharau.
Mleta uzi kasema kweli, kuwa huu utamaduni mbaya Magufuli ndio aliuasisi. Huyu ameamua kuufuata kwasababu ameona unafaa kutishia watu.
 
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na utamlaumu JPM
Mimi nasema sana. Mwinyi, kikwete na hivi sasa mama Samia angalau pumzi unakuwa unavuta. Kupitia MADRASA inamchango mkubwa ktk uongozi ktk jamii. Maana unakumbuka maisha baada ya kufa, vyenginevyo utaona maisha haya ya dunia ndio maisha bora. Vuruga twende
 
Mtu kama Lema anayetukana Watanzania wote kisa kaishi Canada, anawaita Watanzania wote wajinga, wapumbavu, ukimpa Madaraka unategemea nini? Upinzani utakuja ukiwa na kiongozi anayesimamia maslahi ya Taifa kwanza zaidi ya maslahi binafsi, ya kabila ya dini, ya ukanda.
 
Mimi nasema sana. Mwinyi, kikwete na hivi sasa mama Samia angalau pumzi unakuwa unavuta. Madrasa inamchango mkubwa ktk uongozi ktk jamii. Maana unakumbuka maisha baada ya kufa
Wewe una mawazo kama yangu na mara zote kwenye mada zangu Huwa nasema ningekuwa na uamzi wangu Waislamu tuu ndio wangekuwa wanatuongoza.

Hao wengine ni makatili na wasiojaki na waharibifu plus roho mbaya.

Kuna uwezekano mkubwa Mama angekuwa Rais from scratch bila kurithi angekuwa na system nzuri Sasa pressure ya madaraka imemlazimu kukubali ushauri ambao sio hulka yake matokeo yake body language yake na ulimi Huwa vinamkataa.

Kwa miaka 4 Sasa ,hii ni mara ya 2 ndani ya mwaka huu akiwalaumu Mabeberu live Kwa kuwasukimiza Wapinzani kuleta taharuki ambayo hakuitegemea.

Matokeo yake njia ya utatuzi anatumia mbinu za Mwendazake,Bora angetumia mbinu ya JK ya kuwaita Ikulu.
 
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Kuna watu watabisha na hili!
 
Mtu kama Lema anayetukana Watanzania wote kisa kaishi Canada, anawaita Watanzania wote wajinga, wapumbavu, ukimpa Madaraka unategemea nini? Upinzani utakuja ukiwa na kiongozi anayesimamia maslahi ya Taifa kwanza zaidi ya maslahi binafsi, ya kabila ya dini, ya ukanda.
Yule hafai kabisa
 
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
CCM na CHADEMA kaeni chini haya mambo yaishe.
 
Bila kubadili set up ya Usalama hayawezi kuisha ,yaliwnza Kwa JK yakawa accelerated awamu ya 5 na kukita Mizizi Sasa ni muendelezo tuu.

SSH alisema zile zile sheria zilizotumika wakati ule Bado zipo,akimaanisha huruma yake haiwezi kumponza 😂😂
 
Nyie Chadema hamna uwezo kulipigania Taifa. Labda kwa Wachaga na watoto wa mjini, hamuwezi kuungwa mkono na Watanzania wengi. Nyie ni wabaguzi wa kidini, kikabila kikanda, kimapato hamna uwezo wa kuwaunganisha Watanzania na Watanganyika vijijini, makabila, dini zote.
 
Nyie Chadema hamna uwezo kulipigania Taifa. Labda kwa Wachaga na watoto wa mjini, hawuwezi kuungwa mkono na Watanzania wengi. Nyie ni wabaguzi wa kidini, kikabila kikanda, kimapato hamna uwezo wa kuwaunganisha Watanzania na Watanganyika vijijini, makabila, dini zote.
Hakuna chama hicho duniani kinaweza kufanya yote hayo. Palestina anapigana mwenyewe wakati Isreal kapewa silaha zote za dunia huku wao wanapambania ardhi na Allah atawapa ushindi na kuweka heshima ya nchi yao.
 
Maandamano yatayofanikiwa Tanzania yataanzishwa na vijana wasio na itikadi, ubaguzi, udini kama Kenya, USA revolution, French revolution., Haiti revolition. Yataanzishwa na vijana, Watanzania wenye uchungu na Taifa lao kuliko matumbo yao,kabila lao na wenye chuki na makabila mengine makubwa, washamba wa vijijini.
 
Ipo siku mumeo atashindwa kukukojolesha,utamlaumu Magufuli ambaye hayupo na hatokaa awepo hapa duniani tena
 
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Sorry hujuwi unachokiandika.. poleeee
 
Back
Top Bottom