Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Legacy
Mnamuonea bure JPM !Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Ulimboka alitekwa na MagufuliHawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Lile tukio la ulimboka ilikuwa kipindi cha nani vile? Na ule mwandishi wa kuitwa mwangosi?Kumbe JPM ndo Rais wa kwanza Tanzania kila kitu kilianzia kwake ee?
Swali zuri 👍Tunatokaje hapa?
Wewe ni mkongwe mwenzangu humu ukumbini, kuna maandamano ya chadema yalifanyika Arusha rais akiwa Kikwete. Maandamano yalifuata taratibu zote lakini dakika za mwisho, kupitia vyombo vya habari ikatolewa amri ya IGP Said Mwema kuzuia maandamano.Ongea hoja yako. Nimekosea wapi na wewe unafikiria tofauti ki vipi!
Hao wanaomlaumu kila baya ni Magufuli alilianzisha nadhani ni wageni hapa Nchini !Ulimboka alitekwa na Magufuli
Sokoine aligongwa na gari na Magufuli
Wanasemaga ilikuwa ni mipango ya Magufuli hata kabla hajawa Rais 😅😅😂Wewe ni mkongwe mwenzangu humu ukumbini, kuna maandamano ya chadema yalifanyika Arusha rais akiwa Kikwete. Maandamano yalifuata taratibu zote lakini dakika za mwisho, kupitia vyombo vya habari ikatolewa amri ya IGP Said Mwema kuzuia maandamano.
Amri ya Mwema ilipuuzwa, maandamano yakafanyika, baadhi ya waandamanaji wakauawa. Mauaji yale yakawa yameongeza moto na mwamko wa kisiasa kuelekea mwaka 2015.
Lile tukio la ulimboka ilikuwa kipindi cha nani vile? Na ule mwandishi wa kuitwa mwangosi?
Unaacha kupambana na current situation una pambana na marehemu.Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Mama anaiga? Ameokotwa ? Usalama na hayo mambo yeye ndio anapanga na kuratibu? Kama hana Wasukuma kwani Wazanzibar wa nyumbani hawapo?Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!
Amekueleza chanzo Cha hayo unaongea pumba,nani wa kudharauliwa hapa?Anayeongoza sasa na haya mambo yanaendelea huku akiwaita Watanzania ni Makhulutabu na kuwafananisha na Samaki ni Hayati Magufuli?
Acheni kutulazimisha tuanze Kuwadharau.
Mbona mengine mnasema Kila kitu kiliansia kwake? Kwa nini kwenye kupanda mbegu za uovu mnataka kumsafisha 😂😂Kumbe JPM ndo Rais wa kwanza Tanzania kila kitu kilianzia kwake ee?
Ligacg nayo imefariki?Mkuu kaandamane JPM alishafariki
Magufuli alichukiwa bure tu kwa maana alipingwa ndani ya chama na nje ya chama na kumfanyia kila aina ya vituko ili aonekane mbaya!Magufuli hayupo we Mbweha! Juzi kati hapa si mlisema nchi imeponywa!? Na si iliponywa na watu wazima kabisa?
Sasa Leo Magufuli anaingiaje hapo?
Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Magufuli mlimbebesha wa kwako na huyu abebe wa kwake!!
Wewe na wenzako ndio mnataka kuwagawanya Watanzania. Kisa kutaka madaraka. Mnahitaji viongozi wa ukweli kama Dr Slaa, Jerry Slaa, Mbatia kuwauunganisha Watanzania. Siasa zenu siku zote ni kuhusu wasukuma, washamba na kupambana na Wachaga, watoto wa mjini.Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.