Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

Bisheni kwa hoja. Mimi binafsi nilikuwa na fahamiana sana na Magu aka Pombe kuanzia nikiwa mdogo sana. Haya nayo sema ni yeye kama Raisi na si kama ndugu. Kama kuna mtu hapa anamfahamu Magu kuanzia 1991 anaweza kubishana na mimi bila hivyo endelea na uchawa wako na hautaweza kunielewa na kubishana kwa hoja
 
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha mahakama, usalama kuweka uchawa na kuteka na kuuwa watu bila kuwa na uchunguzi …….. Sasa tunaona matokeo yake. Hapa kuna ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu sasa ndiyo mnaona tuliyokuwa tunasema matatizo ya kuanzisha vitu vibaya vitaendelea hata kama haupo.
Huyu Mama anajaribu kuiga iga bila kujua yeye hana wasukuma na teknologia imebadilika sana. Nyakati hizi Watanzania huwezi kuwadanganya kirahisi na ndiyo maana wapinzani wanaeleweka maana uwazi umeongezeka sana. Video mpaka vijijini siku hizi. Huwezi kudanganya watu tena kwamba wapinzani ni mabeberu kama wakati ule au Tanzania hakuna Corona!
Magufuli alifanya mazuri lakini kwenye mfumo wa serikali na demokrasia kafanya vibaya kuliko mtu mwingine yeyote!

Ni mti uliopandwa na Nyerere unazaa matunda
 
Huna hata aibu?
 
Bisheni kwa hoja. Mimi binafsi nilikuwa na fahamiana sana na Magu aka Pombe kuanzia nikiwa mdogo sana. Haya nayo sema ni yeye kama Raisi na si kama ndugu. Kama kuna mtu hapa anamfahamu Magu kuanzia 1991 anaweza kubishana na mimi bila hivyo endelea na uchawa wako na hautaweza kunielewa na kubishana kwa hoja
Nakuuliza tena kwa mara ya pili, huna hata aibu?
 
Magufuli hayupo we Mbweha! Juzi kati hapa si mlisema nchi imeponywa!? Na si iliponywa na watu wazima kabisa?

Sasa Leo Magufuli anaingiaje hapo?

Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Magufuli mlimbebesha wa kwako na huyu abebe wa kwake!!
Legacy
 
Back
Top Bottom