Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

Zilijaa kesi za uhujumu uchumi za kijinga kabisa

Enzi za utawala wa JK Chadema tulikuwa tunapaza sauti kuwa kuna ufisadi, ukwepaji kodi mkubwa na uhujumu uchumi,,,, ulikuwa unahisi tunaizungumzia nchi gani!???

Enzi zile ujambazi ulitamalaki kila kona, mabenki yalikuwa yakivamiwa kila mara, vituo vya polisi kuvamiwa na kuibiwa silaha, ugaidi kibiti na mapango ya amboni,,, ila alipoingia Mwamba JPM madarakani tu aliuwasha moto kisawasawa mpaka hayo majanga yakabaki historia tu nchini mwetu, tukaishi kwa amani

Naamini JPM angekuwa hai hata hii upandaji wa bei ya mafuta na baadhi ya bidhaa isingekuwa wa kiwango hiki kikubwa, kuna sehemu wananchi tunachezewa shere

All in all JPM pamoja na mapungufu yake lakn alikuwa mtu sahihi sana kuongoza Taifa hili hata kwa angalau miaka 15 hivi

Mungu alimleta JPM atuoneshe namna nchi ilivyokuwa ikitafunwa tawala za nyuma, atuoneshe namna gani Rais anatakiwa ajitoe ktk kupigania maslahi ya taifa, kuhamasisha watu kufanya kazi nk nk
 

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 

Nikikumbuka dhalimu alivyotupiga 1.5t na akalitisha bunge na vyombo vya habari, nashukuru yaliyotokea March mwaka jana.
 
Usirudie tena kutuletea mada za huyu mtekaji, muuaji, mporaji na mfitini hapa jukwaani.
 

Kipindi gan demokrasia Tanzania ilidumishwa?
 
Wampe tu, 😀 😀
 
Itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu!
 
Fanyeni kazi mkalipe kodi. Kwani marehemu akipewa tuzo ndio atafufuka? Marehemu ni marehemu tu. Hata mkimsifia harudi tena na ni mwisho wa sukuma gang kupewa madaraka ya juu.
 
Safi Sana boss Kwa kuliona Hilo.

Wapo wapumbavu Fulani wanekalia ooh alikuwa mtekeja. Sijui walitekwa au ni kutumbuliwa na mavyeti fyeki Yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…