Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia.
Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa.
R.I.P JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshamba ndo wewe kuandika hizo Pumba zote.Huyo shetani wa Chato muache aendelee kuoza huko aliko. Tanzania pamekuwa mahali salama pa kuishi bila Magufuli. Hatutakubali tena washamba wa Kolomije watuharibie nchi
Labda umepofuka Kila siku humu watu wanamuongelea magufuli Tu kwa mazuri.Marehemu mapungufu yake makubwa ni kushidwa kabisa ku handle pressure za kisiasa, ikafikia hatua akaanza kuchukulia personal; akaanza ku deal na watu individually kwa kutumia mamlaka yake.. watu waliumia sana sana.
Angeweza ku balance siasa, angekuwa ni kiongozi mzuri mno; ila duh hata legacy kuandika watu wamekata tamaa, haiandikiki.
kama unanibishia waulize waandika legacy wamefikia chapter ya ngapi maana mwaka wa saba sasa kitabu kimeshindikana kutoka 😀 damu za watu hizo.Labda umepofuka Kila siku humu watu wanamuongelea magufuli Tu kwa mazuri.
Kila siku mnaanzisha mada kuhusu magufuli alafu mnasema hamkumbuki acheni unafiki.kama unanibishia waulize waandika legacy wamefikia chapter ya ngapi maana mwaka wa saba sasa kitabu kimeshindikana kutoka 😀 damu za watu hizo.
Kwani na wewe umefanya machache? Kama ndiyo basi inabidi upigwe viboko maana haufai kwenye jamii.View attachment 2399491
Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia.
Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa.
R.I.P JPM.
[emoji122][emoji122]Marehemu mapungufu yake makubwa ni kushidwa kabisa ku handle pressure za kisiasa, ikafikia hatua akaanza kuchukulia personal; akaanza ku deal na watu individually kwa kutumia mamlaka yake.. watu waliumia sana sana.
Angeweza ku balance siasa, angekuwa ni kiongozi mzuri mno; ila duh hata legacy kuandika watu wamekata tamaa, haiandikiki.
Kimeumana. Kuna watu wanaumia sana sana wakiona hii.
Mshahara umeongezewa Sh ngapi?? Hizi gharama za maisha zinaendana na hiyo nyongeza?? Ukweli unao moyoni mwakoMmoja wapo mimi.
Kila nikiliona jitu lenu kumbukumbu yangu ni jinsi alivyonisotesha for 6yrs bila kupandishwa daraja wala mshahara.
Ahsante Mungu kutuondolea mtawala muovo kama Jiwe. Ahsante Mama kwa kutufuta machozi.
Kwa hakika ni kama tulikuwa utumwani ndani ya nchi yetu wenyewe
Hakuna mwenye akili timamu wakumkumbuka huyoView attachment 2399491
Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia.
Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa.
R.I.P JPM.