Hayati Magufuli katika ubora wake enzi zake

Marehemu mapungufu yake makubwa ni kushidwa kabisa ku handle pressure za kisiasa, ikafikia hatua akaanza kuchukulia personal; akaanza ku deal na watu individually kwa kutumia mamlaka yake.. watu waliumia sana sana.

Angeweza ku balance siasa, angekuwa ni kiongozi mzuri mno; ila duh hata legacy kuandika watu wamekata tamaa, haiandikiki.
 
Labda umepofuka Kila siku humu watu wanamuongelea magufuli Tu kwa mazuri.
 
View attachment 2399491

Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia.

Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa.

R.I.P JPM.
Kwani na wewe umefanya machache? Kama ndiyo basi inabidi upigwe viboko maana haufai kwenye jamii.
 
Marehemu mapungufu yake makubwa ni kushidwa kabisa ku handle pressure za kisiasa, ikafikia hatua akaanza kuchukulia personal; akaanza ku deal na watu individually kwa kutumia mamlaka yake.. watu waliumia sana sana.

Angeweza ku balance siasa, angekuwa ni kiongozi mzuri mno; ila duh hata legacy kuandika watu wamekata tamaa, haiandikiki.
[emoji122][emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kimeumana. Kuna watu wanaumia sana sana wakiona hii.

Mmoja wapo mimi.

Kila nikiliona jitu lenu kumbukumbu yangu ni jinsi alivyonisotesha for 6yrs bila kupandishwa daraja wala mshahara.

Ahsante Mungu kutuondolea mtawala muovo kama Jiwe. Ahsante Mama kwa kutufuta machozi.
Kwa hakika ni kama tulikuwa utumwani ndani ya nchi yetu wenyewe
 
Mshahara umeongezewa Sh ngapi?? Hizi gharama za maisha zinaendana na hiyo nyongeza?? Ukweli unao moyoni mwako
 
Back
Top Bottom