Hao wote ni watu aliyowapa ulaji kama siyo kuwateua, taja mtu ambaye yuko nje na Serikali na siyo mteuliwa wakeMkuu wa majeshi, mkuu wa usalama, makamu wake wa Rais mama samia, waziri wake wa fedha Dr mpango, hao wote ni watu makini
Hao wote ni watu aliyowapa ulaji kama siyo kuwateua, taja mtu ambaye yuko nje na Serikali na siyo mteuliwa wake
ππππππππππMimi Niko nje ya serikali na sio mteuliwa wake
ππππππππππ
Sasa mkuu mtu kama wewe una maana yoyote hapa duniani??
Mimi sijazungumzia umri, nazungumzia umuhimu wa mtu kama weweUnatakiwa usome umri wa kujiunga jf, sio Kila mtu humu ndani ni Mtoto mwenzako
Au ana akili za kitaahira kama ww
Hutakiwi kumchokoza "kichaa mwenye hasira" aliyesimama Katibu na lundo la mawe halafu ukakimbilia kwenye nyumba ya vioo. Utakwisha!!!Tuwekee link ya mikataba yote iliyosainiwa baada ya kifo chake.