Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

Kwa upande wako ni Sawa amechafuka

But Kwa upande wa watu wengine magu ni kama malaika

So usitake kulazimisha watu waamini unachoamini ww
Kwa wapumbavu na wajinga, ndiyo maana hakuna mtu makini hata mmoja anaye mkubali Jiwe, kama wabisha nitajie mmoja tu
 
Inategemea na level yako ya akili kujua Nani ni mtu makini and Nani not
 
Alihamishiwa kampuni ya ndege za serikali ikulu Ili CAG prof ASSAD asifanye ukaguzi.

mZiLaNkeNdE hakuwa mtu mzuri

Huwa nashangaaga sana his henchmen na Chawa wake wakilalal eti legacy yake inavurugwa legacy ipi!?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

'nashangaaga' [emoji3][emoji3]
 
Nyepesi ni kwamba waliokuwa karibu na huyu Mzee aisee walipiga sana, maana alikuwa na hulka ya kumwamini mtu anayemletea vimaneno vya kuchongea wenzake.
 
Same old story everyday, hebu tutajie mkataba mmoja tu uliowahi kuwekwa wazi na serikali ya CCM tukauona?

Ukishindwa kufanya hivyo, tujibu; kwanini tusiamini nyie wapinzani maslahi mnatumiwa na walamba asali ili kufanikisha malengo yao?
Swali lako lina logic
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege.

Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege?

Taarifa zilizopo ni kwamba kulikuwa na usiri mkubwa juu ya nyaraka za manunuzi.

Nyaraka alikuwa anatembea nazo Magufuli mwenyewe. Hakutaka umma ujue chochote kama vile zilikuwa ndege binafsi.

Mdhibiti alipoomba kuona chochote walimwambia aende kwa Rais. Hii ilikuwa tafsida tu ila ilimaanishwa endelea na mambo mengine. Kitaalamu tunaita Intimidation Threat.

Mpaka anafariki hakukuwahi kujibiwa kwanini kulikuwa na usiri kwenye mchakato.

Je, alipiga cha juu? Mteteeni basi na hili. Msiseme alishaondoka asisemwe ile sio mali binafsi ni ya umma.

Inasikitisha sana ,JIKONO JANDAMA alichezea pesa nyingi sana za walalahoi.

Moja ya sifa za wapigaji ni kuficha mambo ,kufanya mambo peke yake peke yake pasipo kufuata taratibu.

1.5T imepotea haijulikani iliienda wapi ,900B za white house hazijulikani zimeyeyukaje , plea bargain fedha zimefichwa china ,ujenzi wa Gbadolite airport zaidi ya 50B zimetapakanywa.
 
Same old story everyday, hebu tutajie mkataba mmoja tu uliowahi kuwekwa wazi na serikali ya CCM tukauona?

Ukishindwa kufanya hivyo, tujibu; kwanini tusiamini nyie wapinzani maslahi mnatumiwa na walamba asali ili kufanikisha malengo yao?

Mkuu umeelewa mada? Imesema CAG alitaka repoti ya ununuzi wa ndege akaambiwa aende kwa JIKONO JANDAMA ndiyo anayo ina maana sehemu ambapo ilitakiwa iwepo haikuwepo ,hii ina maanisha akiwa anataka report yeyote/mikataba anenda kwenye ofisi/wizara husika ila ya ndege tu ndiyo haikuwepo alikuwa nayo JIWE.

Kwahiyo hoja yako ya mikataba mingine kuonyeshwa haina mantic ,mikataba ni siri ila walioapa kulinda siri wanaipata eg spika ,waziri ,katibu wizara ,PM ,wenyeviti wa kamati ,CAG na watu wanaofanana na hao ila mikataba ya ununuzi wa ndege hakuna aliyekuwa nayo zaidi ya JIWE tu ,ushaona sasa utofauti?
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege.

Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege?

Taarifa zilizopo ni kwamba kulikuwa na usiri mkubwa juu ya nyaraka za manunuzi.

Nyaraka alikuwa anatembea nazo Magufuli mwenyewe. Hakutaka umma ujue chochote kama vile zilikuwa ndege binafsi.

Mdhibiti alipoomba kuona chochote walimwambia aende kwa Rais. Hii ilikuwa tafsida tu ila ilimaanishwa endelea na mambo mengine. Kitaalamu tunaita Intimidation Threat.

Mpaka anafariki hakukuwahi kujibiwa kwanini kulikuwa na usiri kwenye mchakato.

Je, alipiga cha juu? Mteteeni basi na hili. Msiseme alishaondoka asisemwe ile sio mali binafsi ni ya umma.
Nasikia akiandika wosia kwamba akifa azikwe na mafaili ya ununuzi wa ndege na SGR na like la bwawa la umeme
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege.

Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege?

Taarifa zilizopo ni kwamba kulikuwa na usiri mkubwa juu ya nyaraka za manunuzi.

Nyaraka alikuwa anatembea nazo Magufuli mwenyewe. Hakutaka umma ujue chochote kama vile zilikuwa ndege binafsi.

Mdhibiti alipoomba kuona chochote walimwambia aende kwa Rais. Hii ilikuwa tafsida tu ila ilimaanishwa endelea na mambo mengine. Kitaalamu tunaita Intimidation Threat.

Mpaka anafariki hakukuwahi kujibiwa kwanini kulikuwa na usiri kwenye mchakato.

Je, alipiga cha juu? Mteteeni basi na hili. Msiseme alishaondoka asisemwe ile sio mali binafsi ni ya umma.
Tutafukua makaburi! ikibidi??

Mie huwa najiuliza zile chain of events leading to march 2020. Kuna wabeba makrabasha, kuna watunza siri za makutano na mikutano ndondoo n.k Kuna wale wajuvi wa mambo ya usalama, nje, na sheria n.k kulikoni walibadilishwa haraka sana.
Kuna nguvu nyingi ya kudai maagizo yalitoka juu huku maigizo ya maagizo yanaendelea kufunika au kujenga hoja zenye utata mbeleni.

Kitaeleweka wacha nimalize daku
 
Kwa level yako wewe kama wewe mtaje mmoja

Mkuu wa majeshi, mkuu wa usalama, makamu wake wa Rais mama samia, waziri wake wa fedha Dr mpango, hao wote ni watu makini
 
Alikua mpigaji kama wapigaji wengine walioko ccm.
Sema yeye alijificha kwenye kivuli cha uzalendo na pia kujiita mtetezi wa wanyonge.
Wafuasi wake wale wapumbavu cream kabisa wakawa wanamuona ni mzalendo kweli kweli kumbe jizi la kutupwa
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege.

Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege?

Taarifa zilizopo ni kwamba kulikuwa na usiri mkubwa juu ya nyaraka za manunuzi.

Nyaraka alikuwa anatembea nazo Magufuli mwenyewe. Hakutaka umma ujue chochote kama vile zilikuwa ndege binafsi.

Mdhibiti alipoomba kuona chochote walimwambia aende kwa Rais. Hii ilikuwa tafsida tu ila ilimaanishwa endelea na mambo mengine. Kitaalamu tunaita Intimidation Threat.

Mpaka anafariki hakukuwahi kujibiwa kwanini kulikuwa na usiri kwenye mchakato.

Je, alipiga cha juu? Mteteeni basi na hili. Msiseme alishaondoka asisemwe ile sio mali binafsi ni ya umma.
Serikali ipo mtafute MSEMAJI MKUU wa Serikali
 
Back
Top Bottom