Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

Swala sio ndege kupelekwa ikulu swala ni Ndege kua chini ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) shirika ambalo lipo chini ya Ikulu na ambalo linasimamia ndege zote za serikali...
Halafu hakuna chuki binafsi. Kila mtanzania ana hisa Moja kwenye nchi. Ninayo hisa kama yeye so naruhusiwa kuuliza.
 
Kama suala ni umiliki wa GFA hata sasa tuna ndege imeshikiliwa uwanja wa ndege uholanzi. Hata ukiweka chini ya ikulu lazima tu zishikwe maana inayoshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Naomba ujitahidi usome uelewe sio unasoma ili ujibu.

issue ya ndege kua chini y TGFA haikua kwa ajili ya kuzuia ndege zisishikwe, ilikua ni ku mitigate issue ya ATCL kuingia kwenye ubinafsishaji wa hovyo ikiwa na Assets then inatoka ikiwa haina kitu km ilivyoingia kwenye ubinafsishaji na South African Airline ikiwa na ndege za kutosha na kutoka ikiwa mikono mitupu.

Pia kuipa serikali options ya ku lease kwa mteja or provider mwingine if deems so, kesho wanaweza wakaamua kuanzisha shirika mbadala wa ATCL na kwa lease ndege huko or wakaamua ht ku lease ht kwa Precisions wakitaka, its abt flexibility.
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Mkuu kwenye hili la mikataba ya manunuzi na mikataba mingine tusimlaumu JPM cz huu ni utaratib wa utawala wetu!! Nadhan lawama ziende kwa watawala wote na serikali yao!!! Labda tu useme kwakua alinadi ni mzalendo ndo maan!
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Ukiona mtu ananunuwa ndege kwa cash basi ujuwe hapo anafosi ten Percent yake mapema tu.

Jitu hizi kama huyu mwendakuzimu sijui kwa nini kuna watu wachache walishindwa kumbaini ulaghai wake?
 
Kama suala ni umiliki wa GFA hata sasa tuna ndege imeshikiliwa uwanja wa ndege uholanzi. Hata ukiweka chini ya ikulu lazima tu zishikwe maana inayoshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Tena hiyo ndege ni mtumba haitoshi kulipa deni wanavizia nyingine au vichwa vya treni au vipuli vya bwawa kazi kweri kweri dhuluma hailipi Watanzania wajifunza hilo haraka kesi ziko nyingi ambazo zinaiva na mali zitaviziwa mpaka kieleweke
 
Swala sio ndege kupelekwa ikulu swala ni Ndege kua chini ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) shirika ambalo lipo chini ya Ikulu na ambalo linasimamia ndege zote za serikali...
Objective comment
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege.

Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege?

Taarifa zilizopo ni kwamba kulikuwa na usiri mkubwa juu ya nyaraka za manunuzi.

Nyaraka alikuwa anatembea nazo Magufuli mwenyewe. Hakutaka umma ujue chochote kama vile zilikuwa ndege binafsi.

Mdhibiti alipoomba kuona chochote walimwambia aende kwa Rais. Hii ilikuwa tafsida tu ila ilimaanishwa endelea na mambo mengine. Kitaalamu tunaita Intimidation Threat.

Mpaka anafariki hakukuwahi kujibiwa kwanini kulikuwa na usiri kwenye mchakato.

Je, alipiga cha juu? Mteteeni basi na hili. Msiseme alishaondoka asisemwe ile sio mali binafsi ni ya umma.
Kama alipiga cha juu au cha chini ,mbona mama yako anasafiria mpaka nje ya nchi?Tuliza matako yako chini ww unateseka na mtu ambaye hayupo.Angekuwepo ingekuwa unaharisha.
 
Same old story everyday, hebu tutajie mkataba mmoja tu uliowahi kuwekwa wazi na serikali ya CCM tukauona?

Ukishindwa kufanya hivyo, tujibu; kwanini tusiamini nyie wapinzani maslahi mnatumiwa na walamba asali ili kufanikisha malengo yao?
Kumbe na wewe umeona mkuu Yani upinzani bado unapambana na awamu ya Tano mpaka leo hata hawajielewi watupnyeshe basi mikataba ilio wazi baada ya kifo chake
 
Kwamba hujawi kusikia hata bei zake zikitajwa?.

Wewe endelea kupanda ndege kama mambo mengine huyajui. Nchi ina paa hewani, hadi India, China n.k kwa sasabu ya Mtu makini.
Acha usukuma gang, ishu manunuzi kutokuwa wazi,
 
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Ila si ndege zilikuja na zinaitwa Bombadia?

Mzee ata kama angeificha Tanzania nzima tukaja ibuka tena kushakuwa na Magorofa,Bandari za kutosha, hosptali na vituo vya afya tukaviona, Mashule na walimu wa kutosha wala kwetu hisingekuwa tabu, kuliko kipindi hiki watu wanasaini tu mikataba ya kuuziana vipande vya aridhi yetu kama ilivyokuwaga pale Bagamoyo ya riz1 na kikwete.

Kila siku mikopo inasainiwa tena wazi na hakuna kinachofanyika.
 
Sisi ni wachache ila kiukweli tunawapa Jamba jamba,yaani Ccm na chadema mmeungana na Act ila bado hampati usingizi....Kiukweli JPM hachafuliki na hatokuja chafuka.
 
amewanunulia ndege, endesheni shirika sasa lilete faida na liwe na manufaa kwa watanzania.

Shirika lilikuwa na ndege moja tu choka mbaya na mamia ya wafanyakazi wakilipwa mishahara ya bure na wengine hewa.
Kawanunulia midege na kuajiri watendaji sambamba na idadi yan ndege.
Hayo mbona hayahusiki? Swala ni kuwa jarada la ununuzi wa mali ya umma liko wapi mbona imekuwa siri sana kwani kina nini kinafichwa? Kivuko alikikimbizia jeshini kukwepa maulizo
 
Tuwekee link ya mikataba yote iliyosainiwa baada ya kifo chake.
Huwezi pata mzee,nchi ishauzwa huko kwa wachimba madini kwa dola 300 na bado tunaombwa kuchangia ujenzi wa madarasa..hii nchi watu wanaitaji kupigwa tu vyuma kama Lissu.
 
Kwamba hujawi kusikia hata bei zake zikitajwa?.

Wewe endelea kupanda ndege kama mambo mengine huyajui. Nchi ina paa hewani, hadi India, China n.k kwa sasabu ya Mtu makini.
Jf imevamiwa na kundi la wapumbavu kutoka FB
 
Back
Top Bottom