Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
"Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana"

Hayati Rais John Pombe Magufuli.

IMG-20230715-WA0787.jpg
 
Ila katusaidia sana kujua tunavyopigwa! Wapigaji wanapiga Taifa na wasivyo na aibu wanapiga hadi chama chenyewe na huko ndani wanaogopana tu!

Mtu akiona makubwa anajikalia pembeni na kunungunika badala ya kuingia vitani kusaidia Taifa.
 
..huyu Mwendazake alikuwa na MATAMANIO,ila alikosa MAARIFA, HEKIMA+ kuwa na ROHO MBAYA
Kwa hiyo unapenda maneno matamu,Chui avae ngozi ya kondoo,halafu akuuze kama mifugo,kuku,bata,mbuzi,uwa hawajui kama wanauzwa,kwa hiyo unapenda kulelewa kama mfugo halafu uuzwe,Dunia imebadilika sana.
 
Wewe una roho nzuri?
Umepigwa kweny mshono 🤣🤣🤣🤣 imebid utoe milio 😂😂😂😂!!! Jamaa yupo sahihi nakubaliana nae, JPM alikua mwenye malengo mazur san na rasilimali za Taifa tatizo ni hilo aliloainisha. Hekima ni kitu muhimu san unapopewa jukumu la kuongoza watu, jiulize kwann Suleiman aliomba hekima na akamwambia MUNGU wazi kbs ni ili aweze kuamua kwa haki na kua na ndimi inayotoa hekima!!
 
Umepigwa kweny mshono 🤣🤣🤣🤣 imebid itoe milio 😂😂😂😂!!! Jamaa yupo sahihi nakubaliana nae, JPM alikua mwenye malengo mazur san na rasilimali za Taifa tatizo ni hilo aliloainisha. Hekima ni kitu muhimu san unapopewa jukumu la kuongoza watu, jiulize kwann Suleiman aliomba hekima na akamwambia MUNGU wazi kbs ni ili aweze kuamua kwa haki na kua na ndimi inayotoa hekima!!
Mimi nazungumzia roho hekima anayo Suleiman 😂😂
 
Back
Top Bottom